Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,239
- 2,023
Hua unaamka sa 11 kuswali....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Hapana Mkuu hi NDO mida yangu ya kuamka...sakumi na moja ndo hua naamka...so kwanzia sa kumi na nusu hua naanza kuwa macho
Dahh Hongera asee [emoji119][emoji119][emoji119]....Nimekupa thamani.Ndiyooo...japo adhana Huku nilipo Ni Kama 5:22 kwa nyakati hizi
Life style yako ni nzuri ...meipenda. [emoji4]Nimezoea Sana...Aisee hata Kama Ni udhuru wa Swala lazima niamke muda huo....I guess ishakuwa Lifestyle yangu
Uyo ni mimi kabisakuna mtu alikuwa ananikataza tabia flani sisikii akaniambia siku nikiamua kukaa kmy utajuta nkadhani masihara aisee kweli nilijuta na kuna wanaume wana wana MISIMAMO nyie mshakaji aligoma kupokea simu wala kujibu txt nilikonda bila diet mpaka leo ataki kuniona anasema atanionea huruma π
Komakuna mtu alikuwa ananikataza tabia flani sisikii akaniambia siku nikiamua kukaa kmy utajuta nkadhani masihara aisee kweli nilijuta na kuna wanaume wana wana MISIMAMO nyie mshakaji aligoma kupokea simu wala kujibu txt nilikonda bila diet mpaka leo ataki kuniona anasema atanionea huruma π
dawa yenu inachemka πUyo ni mimi kabisa
nimekomaπKoma
Wallahi usingecomment hivi ningekojolea dari [emoji16][emoji16]Ukaamua kuendelea kujidanganya, hebu acha hizo njoo kwangu nikupe ma love yakuzidi. Acha kuteseka na vitunguu maji ww mrembo[emoji76]
Yani hamna kitu kinaniuma kama kuona mrembo anateseka.
Hata mimi nimemuacha mtu kwa style hiyo hiyo alidhani nimekolea sana kwake akaanza kunichukulia poa.nimekomaπ