Ushawahi kula supu ya mapupu....?

Ushawahi kula supu ya mapupu....?

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
B+2.jpg
 
kama ni mnywaji wa pombe za kienyeji hasa gongo hapo ndo mwake inaondoa hang over haraka.
 
aisee nilikuwa naipiga hii kitu enzi hizo pale uwanja wa shule ya uhuru bus stand now benjamini mkapa high school in early 1990s ilikuwa sh 20
 
Dah! Kitu kiaendana na gongo,busa au mangure
 
Sie walikuwa wanauza shuleni..nimekula sana
 
Kwani hii haipatikani siku hizi maana naona kila member anasema enzi hizo
 
Kwa mlioko DSM pale mbagala rangi 3 kwenye kona ya kwenda charambe ya zamani kila jioni zinapatikana supu za kila aina..kuanzia hii ya mapupu,ngozi,hashua za mbuzi nk..vitafunwa pia vinapatikana..km chapati nk..(nimeona niwapigie promo wale mama zangu wajasiriamali)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom