Ushawahi kukanwa? (Kisa cha kweli)

Tatizo sio pesa..ni moods..ila issue za muhimbili sidhani kama mfano wako ni valid ..kwani kusalimi na kumpa MTU faraja mwenye uhitaji vina uhusiano gani?
Mambo ya moods sijui nini hua ni mambo ya mademu hayo.

Kwani na ww unaingia kwenye siku zako za mwezi mpk uwe na mood swings.
 
Kwa hili me niko 50 / 50 kabisa Yaani naanza kukusoma toka mwanzoni ukiuchuna me ndo Kwanzaa Sina habari, ukinichangamkia hata kama sikukumbuki vizuri nakuchangamkia mifano nnayo mingi mno Kwa Leo tuishie hapo
 


uko sahihi mkuu
baadhi ya watu wanasusa kihurahisi sana wakidhani unajifanya umjui
 
Kuna jamaa angu mmoja (kwa sasa ameshatoboa lakini) alikuwa n jamaa angu ile kinoma noma wakat bado tuko kwenye msoto wa maisha...ila ilikuja tokea ye akaenda mkoa mwingine kwa ndugu zake ambako ndo alipopata rehema za MUNGU na kutusua kimaisha.......sasa baada ya kama miaka 4 hivi tukiwa tumepotezana nikawa nimepata namba yake ya cm......... duuh sitasahau jinsi jamaa alivyoninawa aisee.....jamaa anasema eti mimi hanitambui na sauti ya ninayesema ni mimi anaijua vizuri sana na namba zake anazo na huwa wanawacliana akakata na cm.........
 
Duh, huyo jamaa ni mshamba kupitiliza, mimi hata mtu kama sikumkumbuki, naelewana nae then kufahamiana vizuri baadaye, ila akileta mambo ya kutoana michongo ya hela namkataa kimtindo
 
Na wewe si ndio walewale washamba wa dar es salaam, hivi watu wa dar mna matatizo gani hahah
 
Huyo mzee wako anatafuta laana ya watoto, atakuja kukutafuta, count down years, anazeeka, na atakuja kujua thamani yako, pole sana mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali mkuu
 
Ase Kumbe Ndivo Ulivyo. Daah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…