Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,235
- 93,711
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetisha mkuukuna panzi mmoja alikuwa 1st udom hapo ndo imeanzshwa anzishwa (2009) nilisoma nae mpakani huko mtwara kukutana dodoma jamaa akanikatalia kabisa sio yeye.
siku moja nimeenda kuwaona jamaa zangu akaja na yeye nikasema simkumbuki kabisa jamaa wananishangaa tu badae nawaambia huyu jamaa niliwahi onana nae town akanikana sinaga stori nae mpaka leo.
Inabidi mjifunze kusoma body language, mtu hata kama unamkubuka muangalie machoni, reaction yake ndio itakupa jibu wewe umfuate au vipi. Kama anakujali au kukukumbuka anaweza akakufuata yeye au akakuita hadi jina. Unaweza kuwa umesoma na mtu sasa hivi ni Waziri au Mkurugenzi wa taasisi kubwa unamkuta na watu wake wewe unamvamia tu anaweza akakukana au ukapigwa kikumbo na walinzi wake ukaumia.Heri ya mwakampya wadau,nashukuru kujaaliwa mwaka mwingine wa uhai
Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa.
KISA CHA KWELI
kuna jamaa tuliwahi kukaa kwa babu enzi hizo anasoma A level huko mwanza nikaja kukutana nae DSM aisee jamaa akasema hakumbuki kama amewahi kuwa mwanza [emoji41] [emoji23] [emoji23] ...nikamtajia mpaka nickname yake kasema hanijui nilichukulia easy kwa sababu jamaa ni mpenda sifa.
Umewahi kukanwa katika mazingira yoyote na mpenzi,ndugu au rafiki tushare jamani.Karibuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona panziWe panzi, UDOM imeanzishwa 2007.
Heri ya mwakampya wadau,nashukuru kujaaliwa mwaka mwingine wa uhai
Kwenye maisha kuna watu akipata mafanikio au hata akiwa kwenye level Fulani ya maisha anaweza kukukana mpaka ukashangaa.
KISA CHA KWELI
kuna jamaa tuliwahi kukaa kwa babu enzi hizo anasoma A level huko mwanza nikaja kukutana nae DSM aisee jamaa akasema hakumbuki kama amewahi kuwa mwanza [emoji41] [emoji23] [emoji23] ...nikamtajia mpaka nickname yake kasema hanijui nilichukulia easy kwa sababu jamaa ni mpenda sifa.
Umewahi kukanwa katika mazingira yoyote na mpenzi,ndugu au rafiki tushare jamani.Karibuni
bado ni shobo subiri akuanze yeye☻Hii inaweza changia kweli...
Zamani nilikuwa na tabia ya kusalimia sana watu ambao tulipotezana kwa muda mrefu ila nilichokuja kiona ni kuwa baadhi hujifanya wamekusahau hata umkumbushe vp atajifanya kasahau.
Nilichoamua ni nikihisi kumfahamu mtu nikaenda msalimu akijifanya hanikumbuki basi na mimi napotezea wala sipotezi muda wa kumkumbusha lolote naendelea na mambo yangu.
aiseeeh hii kubwa kuliko mkuu, daa badae alikukubali na khali ikojeMdingi aliwahi kuniambia 'mi sio baba ako' akaita security akawaambia mtoeni nje huyu
Nilikuwa nimemfuata kazini kwake kuhusu mambo ya shule
Niliondoka nikilia siku hiyo
Sijui ntaisahau vp hii
Mzee aliachana na bi mkubwa mi bado janki kabisa kwa hiyo yeye ana kwake na bi mkubwa ana kwake minakaa na bi mkubwaaiseeeh hii kubwa kuliko mkuu, daa badae alikukubali na khali ikoje
Duh we katili..Ilikua mwaka Jana mwishoni mwishoni niko zangu kwenye starehe maeneo ya Arusha Heineken zakupendeza..kulikua na ziara ya Mh fulani hivi...nikaamua nikale bata hukooo USA River sikutaka kuonana na mtu yoyote ..
Nikawa na dereva na mwanangu flani ..ile naingia club Njeree naona jamaa anansanukia..we si fulani tumesoma Feza mwaka fulani..nilimnawa live! kata kata nikamchomloea tena in a harsh way..tulipo chill wenzangu wakanambia humjui yule..nikawaambia namfaham sana sema sikua na ratiba ya kuonana na mtu ndio maana tuko hapa!
Wakati tunatoka dereva alimfuata kumuomba radhi na akamthinitishia ndiye mm..
Sipendi kushobokewa hasa nikiwa kwenye moods zangu..unakutana na jitu linakenuaa weee salamu nusu saa..my brother huo muda sina!
Ukinivamia hovyo hovyo nakunawa tu! nshamkana mpaka dada yangu mahala na uso mkavu...hawa washkaj school mates ndio kabisaa..au najifanya sikukumbuki usinipotezee muda wangu ..
mambo yataenda poa ipo siku atakubali uwepo wako, mie mzee hakunikana ila kutokana na utukutu na kufukuzwa shule alisema hatatoa hata mia kunisomesha.Mzee aliachana na bi mkubwa mi bado janki kabisa kwa hiyo yeye ana kwake na bi mkubwa ana kwake minakaa na bi mkubwa
Baada ya siku hiyo nilienda nikauza kuku wangu nilikuwa nao kama 6 hivi nikasolve hilo tatizo skuli
Nilikaa kama miaka miwili hivi bila kuonana nae japo kwake ni kama km1 tu kutoka home
Kwa sababu yeye tangu nna akili sijawahi kumuona kaja nyumbani
Unawza kudhani labda kweli sio baba yangu
Lakini nna uhakika ni mzee wangu coz tunafanana sana sura
Kuna mambo mengi sana ila katika watu ambao siwakubali ni huyu mzee
Hahahahahahahahaha hii kali aiseeMdingi aliwahi kuniambia 'mi sio baba ako' akaita security akawaambia mtoeni nje huyu
Nilikuwa nimemfuata kazini kwake kuhusu mambo ya shule
Niliondoka nikilia siku hiyo
Sijui ntaisahau vp hii
Hahaaaaaa duh petro .....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ilikua mwaka Jana mwishoni mwishoni niko zangu kwenye starehe maeneo ya Arusha Heineken zakupendeza..kulikua na ziara ya Mh fulani hivi...nikaamua nikale bata hukooo USA River sikutaka kuonana na mtu yoyote ..
Nikawa na dereva na mwanangu flani ..ile naingia club Njeree naona jamaa anansanukia..we si fulani tumesoma Feza mwaka fulani..nilimnawa live! kata kata nikamchomloea tena in a harsh way..tulipo chill wenzangu wakanambia humjui yule..nikawaambia namfaham sana sema sikua na ratiba ya kuonana na mtu ndio maana tuko hapa!
Wakati tunatoka dereva alimfuata kumuomba radhi na akamthinitishia ndiye mm..
Sipendi kushobokewa hasa nikiwa kwenye moods zangu..unakutana na jitu linakenuaa weee salamu nusu saa..my brother huo muda sina!
Ukinivamia hovyo hovyo nakunawa tu! nshamkana mpaka dada yangu mahala na uso mkavu...hawa washkaj school mates ndio kabisaa..au najifanya sikukumbuki usinipotezee muda wangu ..
Mdingi aliwahi kuniambia 'mi sio baba ako' akaita security akawaambia mtoeni nje huyu
Nilikuwa nimemfuata kazini kwake kuhusu mambo ya shule
Niliondoka nikilia siku hiyo
Sijui ntaisahau vp hii