Hongera.. Ntakununulia soda.
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
kumbe mpaka uweke uzushi.Mimi nilimzushia Paw kubebwa na mafuriko ya Dar akanipa like!!! Sasa hivi najiandaa kumzushia invisible kwamba nimehudhuria ndoa yake ili naye anipe "Like".
Makofi kwa babu tafadhaliMi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.
RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.
Thitaki thoooda... nataka kama hiyo hapo kwenye tangazo chini ya post yangu.