Ni ile hali ya kuwa na mpenzi ama mke ambaye ni Zero brain kiasi ambacho hana mchango wowote wa mawazo katika mahusiano!
Utakuta unamwambia Dear nimepanga kufanya hivi na vile wewe unaonaje katika hili anakwambia sijui! Utakuta unamwambia vitu vingi ili na yeye aoneshe mchango wake japo wa kimawazo hata kama usipoyafanyia kazi lakini hana mchango wowote zaidi tu ya kutoa papuchi!
Utadeal vipi na situation kama hiyo kumfanya mtu wa namna hiyo abadilike?