Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Nimecheka sana, huyo anaweza akawa anasahau hata kuoga, au akiingia kujisaidia haja kubwa badala ya kujitawaza anasahau na anaishia kusukutua mdomo.
Sasa kama wazazi wake walimshindwa huyo mtoto wao, na wakaamua bora kukuuzia huyo mtoto wao kwa mahari ndogo, ulitegemea kipi?
Dili na papuchi mengine maliza mwenyewe....
Nimecheka sana, huyo anaweza akawa anasahau hata kuoga, au akiingia kujisaidia haja kubwa badala ya kujitawaza anasahau na anaishia kusukutua mdomo.
Sasa kama wazazi wake walimshindwa huyo mtoto wao, na wakaamua bora kukuuzia huyo mtoto wao kwa mahari ndogo, ulitegemea kipi?
Ila hii inahusiana na maisha yako mkuu, mficha maradhi kifo kitamuumbua shauri yakoMada haihusiani na maisha yangu binafsi nimeongelea kwa ujumla [emoji28][emoji28]
Mtafute unaeendana nae
Mkuu unasimu gani used apo
Mkuu hao ndo 75% ya wake wa kitanzania, wanachojua ni kutoa huduma za kitandani tu, mawanzo ya maendeleo unajisimamia Peke yako,Ni ile hali ya kuwa na mpenzi ama mke ambaye ni Zero brain kiasi ambacho hana mchango wowote wa mawazo katika mahusiano!
Utakuta unamwambia Dear nimepanga kufanya hivi na vile wewe unaonaje katika hili anakwambia sijui! Utakuta unamwambia vitu vingi ili na yeye aoneshe mchango wake japo wa kimawazo hata kama usipoyafanyia kazi lakini hana mchango wowote zaidi tu ya kutoa papuchi!
Utadeal vipi na situation kama hiyo kumfanya mtu wa namna hiyo abadilike?
Mkuu hao ndo 75% ya wake wa kitanzania, wanachojua ni kutoa huduma za kitandani tu, mawanzo ya maendeleo unajisimamia Peke yako,
Kuna mmoja namwambia jumapili ni tar 14/02
Eti
Kwani kuna nini?