Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,385
Bad enough hata michango yake eti huwa naipita siisomiLabda kuna michango anayoitoa inakugusa kwa namna moja au nyingine
pepo la chuki nakuamuru tokaaaaa teh
Bad enough hata michango yake eti huwa naipita siisomiLabda kuna michango anayoitoa inakugusa kwa namna moja au nyingine
Ha ha ha namchukia hata muda wa kuanza kumsearch nimuweke kwenye ignore sinaaaa
sijui nikutafutie muda nikuweke???
Mimi mwenzenu nachukia rangi ya kijani na njano sijui kwanini.
Vumilia mkuu litatoka soonBad enough hata michango yake eti huwa naipita siisomi
pepo la chuki nakuamuru tokaaaaa teh
Ngoja nikuwekeeeeeeeYap muwekeee harakaa
Mazingira ya hivi hata pepo lenyewe linagomagaYap muwekeee harakaa
Unaweza kujikuta kuna mtu unamchukia bila sababu na yeye pia anakuchukia.Yaani mnachukiana bila sababu na hamko compatible kabisa ila mnakutana kila wakat.Hamuongei mengi labda ya lazima au endapo kuna mtu kati.
Hivi huwa ni nini?