Ushawahi kuambiwa hivi na Interviewer?

Ushawahi kuambiwa hivi na Interviewer?

Hizi zinakuwaga zali na ni moja katika 100,mtu mwingine anaweza fanya kama hivi akaishia kubutuliwa mitama na vijamaa vya su..ma jk..tii
Siyo rahisi, kama ukiwa unamwonekano wa mtu mwenye shida ya kiofisi hawawez kukuzingua.
Si unaelewa tunapokuwa tunatafuta jonsi tunavyojiweka, kuanzia kunyoa nywele kichwani, mavazi na hata tunavyojieleza, kwahiyo hao askari siyo rahisi kukusumbua
 
Mara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la.

Inapotokea Interviewer kakuambia "i will call you very soon" mara baada ya kufanya usaili je nini hasa tafsiri yake, ni kwamba ndo anakupa mkono wa kwaheri kijanja au kuna matumaini ndani ya hiyo kauli yake?

Karibuni wazoefu tusaidiane kuhusu hili.
Wasomi wengi wa siku hz wanapenda kutoa majibu ya maswali yasiyokuwa na foundation kabisa.Kiufupi 2i will call you very soon" ni neno la kawaida sana kwenye interview na halimaanishi kwamba umekosa ama umepata interview husika.Organisation huwa zina policy tofauti tofauti,nyingine policy zao za kutoa majibu ni 7 days,2 weeks,1 month,wengine hawana policy inayowa-bind kwenye mda wa kutoa majibu nk.Other organisations huwa wanatoa majibu kwa watu wote (waliopata na waliokosa),wengine hutoa majibu kwa waliopata tu,au nyingine kwendana na policy yao let's say kama inasema majibu ni 7 days-huwa wanawaambia interviewees kwamba ukiona hujawa contacted after seven days consider yourself unsuccessfully.Therefore kwa mujibu sa swali lako-hilo jibu ni la kawaida kama majibu mengine mtu anayokujibu mtaani hasa pale anapokuwa hana specific day exactly kwenye tarehe ya miadi ya jambo fulani.
 
Mimi nilijibiwa jibu hilohilo nikakaa wiki 2 kimya nikamcall hr akasema tunaandaamazingira kuna vitu tunaweka sawa tutakuita tu.... Ndo nikasubiri weeeee! Mpaka sasa nipo nasubiri [emoji848][emoji848]
Kwa hiyo unasubiri kuitwa!!!?
mwaka wa ngapi huu
 
Duuuh ndio msomi huyu eeh , ukiendelea na uandishi huu huko uendako kamwe huwezi kutoboa kupitia ajira za watu aisee
nina ajira tayari kaka roho yako mbaya haikuweza ninyima kazi
 
Inawezekana wewe sio chaguo la kwanza..
Kwahiyo watampa kazi chaguo la kwanza akikataa ndo watampa anaefata hadi wewe..
 
Inawezekana wewe sio chaguo la kwanza..
Kwahiyo watampa kazi chaguo la kwanza akikataa ndo watampa anaefata hadi wewe..
 
Mara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la.

Inapotokea Interviewer kakuambia "i will call you very soon" mara baada ya kufanya usaili je nini hasa tafsiri yake, ni kwamba ndo anakupa mkono wa kwaheri kijanja au kuna matumaini ndani ya hiyo kauli yake?

Karibuni wazoefu tusaidiane kuhusu hili.
Usije ukakopa hela kuitegemea hiyo kazi.hapo ni 50/50.

kwa kawaida kama umewakonga nyoyo zao watakutafuta soon kweli ndani ya 3-7days.ila kutegemeana na aina ya kazi mpaka wafanye veting yao.Wasije kuajili mpigaji.na vetting smart huwa hazifanyiki kwa wale uliowaandika kama referees wako kwenye cv.Angalizo pana:
inawezekana wakaishia kuangalia aina ya marafiki zako kwenye facebook yako na aina ya meseji zako.watajua tuu kuwa wewe ni mcharuko au la
 
Kwenye interview uliza utegemee majibu lini, tatizo huwa tunakuwa waoga waoga sana hadi kuuliza maswala muhimu. Tumeaminishwa kuukiza baadhi ya maswali ni tatizo ila in reality ndio maswali muhimu, wanapaswa kujua unafuata muda na una ratiba.

Unakuta mtu anaogopa kuuliza benefits na opportunities zilizopo eti ataonekana kafuata maslahi, wao tayarivwanajua unatafuta mshahara kihalali sasa unaogopaje kuuliza vitu vingine.

Kazi yangu ya kwanza kabisa niliipata kwa kuuliza kama kuna benefits na opportunities nyinginezo job, ile namaliza tu mwenye firm pale pale akaniambia "dogo kazi umepata".

Nikiri tu kuwa binafsi sikuwa na mpango sana na ile kazi na nilikua na test tu zali so sikuwa najali sana zile kanuni za interview sijui usiulize salary n.k tangu hapo nkajua hazina maana. Na kazi usitafute ukiwa na njaa utateseka zaidi.
 
Nilienda kwenye Interview moja ulikua n full kimombo..[emoji38][emoji38] nlchkua km dk 15 hivi...nlvyo toka...nkaona Jasho mwili mzima...Nikajua nshaa vuruga Mambo....nkaambiwa tutakupigia ndan ya week moja .....thubutuuu[emoji23]
 
Kwenye interview uliza utegemee majibu lini, tatizo huwa tunakuwa waoga waoga sana hadi kuuliza maswala muhimu. Tumeaminishwa kuukiza baadhi ya maswali ni tatizo ila in reality ndio maswali muhimu, wanapaswa kujua unafuata muda na una ratiba.

Unakuta mtu anaogopa kuuliza benefits na opportunities zilizopo eti ataonekana kafuata maslahi, wao tayarivwanajua unatafuta mshahara kihalali sasa unaogopaje kuuliza vitu vingine.

Kazi yangu ya kwanza kabisa niliipata kwa kuuliza kama kuna benefits na opportunities nyinginezo job, ile namaliza tu mwenye firm pale pale akaniambia "dogo kazi umepata".

Nikiri tu kuwa binafsi sikuwa na mpango sana na ile kazi na nilikua na test tu zali so sikuwa najali sana zile kanuni za interview sijui usiulize salary n.k tangu hapo nkajua hazina maana. Na kazi usitafute ukiwa na njaa utateseka zaidi.
Hiyo sentesi y mwisho hyo .....ukitfuta kazi ukiwa na njaa Sana utaona dunia chugu
 
Back
Top Bottom