Ushawahi kuambiwa hivi na Interviewer?

Nimefanya interview moja Lindi ziii mpk leo Bado pending

Nikafany mbili za pspr.moja nikafaulu sijawahi kuambiwa we will call you soon
 
Mimi nilijibiwa jibu hilohilo nikakaa wiki 2 kimya nikamcall hr akasema tunaandaamazingira kuna vitu tunaweka sawa tutakuita tu.... Ndo nikasubiri weeeee! Mpaka sasa nipo nasubiri
Utasubiri sana maana hayo majibu ni dhahiri inabidi uendelee na harakati zako!

Kuna interview jamaa alikula 40K yangu kwa kunipa uhakika halafu zikaanza story kwanza nilihisi tumepigwa 😅! Nilikomaa nae mpaka akaitapika yule mbwa.
 
Kuna mrashia; mmoja aliniambia tutazungumza na wadhamini wako, then tutakupigia, mpaka na leo.

Miaka inazidi kwenda tu!!
 
Nakumbuka nilifanya interview ya kwanza nikaambiwa I will call u very soonwiki ikaisha kimuhe muhe kweli Wakaja kunipigia baada ya wiki mbili nikafanya tena interview ya pili wakaniambia watanipigia muhe muhe kikaanza upya.wiki ya tatu sasa na tamaa nimeshakata na kukonda nimeshakondanapigiwa tena simu ya kufanya interview ya tatu na watu lukuki Jehovah..wahi uvumilivu wa kuendelea kusubiri hiyo veri suni yao ukanishinda wallah.

Ule wakati ulipo fika wa kuuliza maswali ilinibidi niulize ni lini nitapata majibu baada ya hii interview maana nilichoka kuishi kwa mashaka na presha.

Kuna kampuni nyingine ni waaaminifu.kama umekosa wanakutumia mail kuwa hujafanikiwa na hizi kampuni ni chache sana zenye huu uaminifu.watu hawafanani.

So Chief endelea kuwa subiri huku ukifanya mambo yako mengine ya msingi
Aya ya pili kutoka mwisho ndio yenye mashiko zaidi. Blessed those kampani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka nilifanya interview ya kwanza nikaambiwa I will call u very soon🥺wiki ikaisha kimuhe muhe 😀😀kweli Wakaja kunipigia baada ya wiki mbili nikafanya tena interview ya pili wakaniambia watanipigia🙆‍♀️🙆‍♀️ muhe muhe kikaanza upya.wiki ya tatu sasa na tamaa nimeshakata na kukonda nimeshakonda😀😀napigiwa tena simu ya kufanya interview ya tatu na watu lukuki Jehovah..wahi uvumilivu wa kuendelea kusubiri hiyo veri suni yao ukanishinda wallah.

Ule wakati ulipo fika wa kuuliza maswali ilinibidi niulize ni lini nitapata majibu baada ya hii interview maana nilichoka kuishi kwa mashaka na presha.

Kuna kampuni nyingine ni waaaminifu.kama umekosa wanakutumia mail kuwa hujafanikiwa na hizi kampuni ni chache sana zenye huu uaminifu.watu hawafanani.

So Chief endelea kuwa subiri huku ukifanya mambo yako mengine ya msingi🧚‍♀️🧚‍♀️
Nimecheka Kama kuku🤣🤣😅😂😂😂😂😂
 
Mimi hapa nimefanya interview sehem nangoja kuitwa ama ndo imetoka hivo
 
Mara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la.

Inapotokea Interviewer kakuambia "i will call you very soon" mara baada ya kufanya usaili je nini hasa tafsiri yake, ni kwamba ndo anakupa mkono wa kwaheri kijanja au kuna matumaini ndani ya hiyo kauli yake?

Karibuni wazoefu tusaidiane kuhusu hili.
Inategemea na taasis. Mimi niliwahi kupiga interview kwenye taasis flani. Chumba cha interview kilikuwa na panel ya watu wawili tu. Mmoja alikuwa mzungu wa London, mwingine mbongo japo ngeli kwake ni fresh tu maana alisoma shule za kishua mixer south africa kwa level za chuo. Asee ile interview nilichemka, maana aliyekuwa akinifanyia kwa asilimia kubwa ni yule mama wa kizungu. Kingereza chake nilikuwa sikielewi. Nikawa najibu tofauti kabisa. Yule mbongo akawa ananisaidia akiona najibu tofauti anarudia swali kwa kingereza cha kiafrica. Nikawa naelewa ndo najibu. Yule mzungu nilimpenda sana japo nilijua kazi ntaikosa.

Wakati naingia kwenye chumba cha upasuaji, akanifungulia mlango, akanikaribisha kiti kabla hata yeye hajakaa. Alipo kaa akajitambulisha majina yake huku akitabasamu. Asee nilihisi nipo London. Tulivyoanza na ile ngeli yake nikaanza kusweat licha ya AC kupuliza vilivyo.

Baada ya kumaliza niliambiwa watanichek baada ya week moja. Na kweli baada ya week nikapigiwa simu ya kuitwa kazini
 
Mkuu kama unaweza kuwa unafatilia itapendeza sana. Waajiri siku hizi wanatoa ajira kwa watu ambao wapo serious.
Kuna taasis flani ilitangaza kazi mwaka jana. Watu wakaapply na kuwa shortlisted. Kuna jamaa mmoja hakuitwa wakati sifa zote anazo. Baada ya interview watu wakapangiwa vituo vya kazi. Jamaa yule kusikia akawa kila mara anaenda kuulizia kwann hakuitwa interview na sifa anazo?
Wakawa wanasema mara hawakupokea email yake, akathibitisha kuwa email ilifika, basi wakamwambia watampigia baada ya week 2. Week zilipoisha jamaa akawafata tena kuulizia mbona hawakumchek, ikabidi wamwambie atume upya application. Jamaa akatuma. Baadae aliitwa akafanyiwa interview, alianza kazi mwaka huu mwez january wakati wale wengine wameshamaliza miez 6. So yupo kazini sasa mwez kama wa nane saiv. Na leo nimeongea nae akawa ananikumbusha huo mchakato.
Anajiuliza kama asingefatilia leo hii angekuwa wapi?
So, komaa ndugu. Fatilia, ikibidi tafuta mahusiano mazuri na HR

Hizi zinakuwaga zali na ni moja katika 100,mtu mwingine anaweza fanya kama hivi akaishia kubutuliwa mitama na vijamaa vya su..ma jk..tii
 
Back
Top Bottom