Ushawahi kijibiwa hivi?

Ntasubiri ndio five years kitu gani
 
me sijawahi !!! pole yako km umewahi tatizo um......a malizia na YA .kila kipitacho mbele unataka kiwe halali yako...UKIONA NYANI MZEE UJUE KAKWEPA MISHALE MINGI (ukiona mzinzi aliyekubuhu ujue kakutana na majibu mengi sana)
 
Hapo ni kufuta tu na namba na kumsahau kabisa huyo mtu.
 
utafiti, Umemkera kitu gani mpaka akujibu hivyo ????????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…