didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,055
- 3,436
Acha ujinga emu muombe njia ndogo
Mamen SaltPambana umuoe huyo mpemba muwe mnashindana mapishi.....
Siku nyingine mnaamua hamuendi kazini mkaaa ndani mnapikaaa kisha mnanialika mi rafiki yenu nije kula
Penzi lenu litadumu sana.
Uzee kawaida unaleta tabia za uongouongo, na upotevu wa kumbukumbuku ya uongo utakao usema....Mimi nimedate nao 2 na mmoja nilizaa nae,na sikuwaoa ila nilienjoy sana,japo mambo yao ni hayo hayo,nioe nioe na sikuwaoa.Kati ya hao mmoja ni chotara wa kiarabu na wa pili ni mbantu,na ndiye nilizaa nae mtoto Pia safari ya kwa mpalange ndio starehe yao kubwa.
Pia mambo mazuri niliyoyafaidi kwa hao wanawake:
1.Wana heshima kubwa sana kwa mwanaume,hawana kero wala ugomvi.
2.Kupika wanajua sana na huuliza kila siku wapike nini,na wapikeje?
3.Hushiriki kwenye sex kikamilifu na saa yoyote,muda wowote ukiomba sex utapewa na wso pia huomba na wasiposhiba husema waziwazi
4.Wanapoomba kitu,kama nguo,viatu huomba kwa heshima na adabu
5.Pia wanataka uwaambie ukweli iwapo kuna kiti hutoweza kukifanya
Bikra ya pua labda 😀😀😀😀anavyo nizungusha kunipa na kudai ni bikra
Tatizo lako wewe ndio unaochanganya mambo,hii set ya ma x haihusiani na wale wanawake niliowataja kule kwenye stori zangu zilizopita,nanda kasome vizuri yule mke wa mhindi niliandika nimezaa nae?Uzee kawaida unaleta tabia za uongouongo, na upotevu wa kumbukumbuku ya uongo utakao usema....
Huku mpemba na mwarabu, kule alikuwa mhindi.....
Ni wale wale 😂Me Mngoni.
Hii kesi Sio yangu.
Ngumu kumezaAcha ujinga emu muombe njia ndogo
😂😂Bikra ya pua labda 😀😀😀😀
Ukiingia chafia kama zoteNyumba inanukia nazi na perfume za Oman 24hours.
Mamen 🤣🤣🤣🤣🤣Mamen Salt
shauri yakoNgumu kumeza
BhaaaasiNi wale wale 😂