Ushawahi date na mpemba?

Ushawahi date na mpemba?

Mpemba mgumu uyo
Ukiwa na papara humli huyo, kuna kipindi nilijifanya zoba nikawin mmoja. Kila siku nilinunua juice kwao getini kunywa sinywi nampa jamaa yangu, mpaka akawa analeta mwenywe Ambiance pale, MachiMachi guest sinza shahidi 2009 hiyo 😂😂😂
 
Nimestuliwa kuwa kuna bikra feki hapo ndio nawaza
 
Mh ikawaje una kitu mkuu embu endeleap
Yeye alienda kusoma PhD Japan na mimi nikaenda Marekani ikawa vigumu kukutana, tukaendelea tofauti.

Juzi nimesoma mkeka kala uteuzi wa Mama kwa mara ya pili anaongoza kitengo nyeti cha kitaifa mambo yake swaafi.

Ananiambia "Kiranga this could have been us, but you play too much".

Intelligent businessman
 
Huyi

swafi niunganishe nae 😂
 
Hao si unaoa kwa mahari ya elfu 50 na unavunja ndoa kwa talaka ya maandishi?

Unaogopa nini sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom