Ushawahi choka mkeo?

...boring is a too general term...labda ufafanue anavyo ku bore...labda na yeye huko aliko analalamika kwa wenzake kuwa wewe una m bore....fafanua ana ku bore kivipi..ili usaidiwe specifically... Isije ikawa wewe ndie tatizo...ambalo hulioni....wanawake nao hubadilika kutokana na wanawaume wao....mfano.. We zamani ulikuwa unamchapa miti vema kabla hajakuzalia watoto...lakini leo ukimpiga bao moja unampa mgongo... Lazima nae abadilike...ama umeacha zile compliments ulizokuwa unampa zamani....etc etc...jiulize we kwanza ulivyobadilika....then mkeo ni matokeo tu....especially kama umekiri kuwa ni nzuri(bila kueleza anaku bore vipi)...be specific bana...ili usaidiwe..
 
kwanini uliowa basi haujajitambua ..kwanini uwe na mke au maana ya mke fanya upuuzi wako huko ukirudi kua na heshima au mpole tu je akikuchoka yeye akuwekee Chumvi kwenye Chai utajisikuaje?????
 
kwanini uliowa basi haujajitambua ..kwanini uwe na mke au maana ya mke fanya upuuzi wako huko ukirudi kua na heshima au mpole tu je akikuchoka yeye akuwekee Chumvi kwenye Chai utajisikuaje?????
 
Hiyo ni tatizo la kuishi maisha ya ndoa kabla hamjaingia kwenye ndoa.
 
we unahitaji kusafiri uwe peke yako na upate kazi moja ya nje ikupe full adventure ukirudi home mpyaaa kabisa. you are just bored. kwa miaka 8 umegonga papuchi moja tuu, its time for little adventure son
 
Hiyo inatokea sana tu kwenye ndoa..Na moja ya sababu ya kuchokana ni kuwa na interest/hobbies tofauti...Mnajikuta hakuna intersection miongoni mwenu...Ukiwa na mwanamke ambaye mna vitu vingi vinaendana ni ngumu kumchoka
KATIKA MICHANGO YOOTE HILI NDIO JIBU, HAYO MENGINE WALIYOCHANGIA NI NYONGEZA TU.

Kwa ambao hamjaoa zingatieni sana sana sana hili.. Wengi tulibugi hapa...
 
Mchepuko ndio dili ila usimtupe mkeo.
 
Reactions: irk
Hayo mambo yapo, me nina miaka minane kwente ndoa na ninakaribia 32 yrs, nafikiri kuwahi kuoa sana pia inachangia.
La msingi vumilia maana huwa ni kipindi cha mpito.
 
The Boss, umemaliza yaani hili ndio tatizo kubwa kwa wanawake wanalolifanyaga, yaani mwanaume unaboreka mbaya - wakati yeye ndo anaona amekuheshimu to the maximum.

Conclusion:
I ALWAYS ADMIRE THE BOOK OF John Gray Ph. D
Titled.. MEN ARE FROM MARS, WOMEN ARE FROM VERNUS
 
Hiyo ni tatizo la kuishi maisha ya ndoa kabla hamjaingia kwenye ndoa.
Sio, kweli
Wafwate waliofunga ndoa fresh uone kama hawana hzi shida. Complexion za ndoa doesn't regard the situation they are just natural..
 
Kuboreka kupo sana kusema ukweli labda kwa aliyebahatika kuoa malaika..kuna mambo mengine haya kwenda kama mlivyotarajia .Wakati mwingine zile tabia zake ndiyo shida...na kubadilika ndiyo hataki..mf.kuna wanandoa aweza maliza miezi 6 na zaidi hajapata tendo la ndoa kabisa..wategemea nini hapo na umejitahidi kila namna mambo hayawi sawa!utashindwa Kuboreka?na ikumbukwe siyo kila mtu aweza chepuka ila kukidhi hili hitaji muhimu..omba tu usithubutu kukutwa na masahibu haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…