Habari zenu,
Nakaribia miaka 35.Nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka nane(8) sasa.Nina watoto wawili.
Tatizo langu ni kuwa maisha ya ndoa yamekuwa very boring.Hisia zangu kwa huyu mwanamke kama hazijafa basi ni kidogo sana.Yaani narudi home kwasababu ya mazoea and nothing else.She is a good wife and a good mother.But feelings arent there anymore.Is this normal?Sina mchepuko,..na vile vile ssiwezi muacha labda anipe sababu ya kufanya hivyo...Naweza sema kwa hali niliyonayo naomba hata aniache yeye.
Pumba na Point zinaruhusiwa.
Karibuni.
Namba zake utanipa kwenye PMPole mkuu,wewe umemchoka sawa vipi umeshawahi kujua kama unamtendea haki na yeye?jitahidi kumuelewa na ongea nae kuhusu mahitaji yako pia mfanye awe mpenzi wako,awe rafiki yako km unapenda mwanamke awe tofauti na anavyofanya kaa nae chin mwambie,UNAWEZA KUMTENGENEZA MKE AKAWA MTU UNAYEMTAKA(ukishindwa nipe namba zake nkutengenezee,niondoe milima na kona kali then utamchukua nikimaliza kandarasi?)
Nafikiri wazee zamani walikuwa hawaachi wake zao sababu walikuwa na wake wengi
huwezi kumchoka mkeo kama ungekuwa unapata mda wa kum miss...
wanasema 'how can i miss you if you are always here'
labda ni phase tu itapita
au labda umemchoka kweli for good....
hebu safiri alone kama wiki mbili ujitathmini
Kama dini inaruhusu oa mke wa piliHabari zenu,
Nakaribia miaka 35.Nipo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka nane(8) sasa.Nina watoto wawili.
Tatizo langu ni kuwa maisha ya ndoa yamekuwa very boring.Hisia zangu kwa huyu mwanamke kama hazijafa basi ni kidogo sana.Yaani narudi home kwasababu ya mazoea and nothing else.She is a good wife and a good mother.But feelings arent there anymore.Is this normal?Sina mchepuko,..na vile vile ssiwezi muacha labda anipe sababu ya kufanya hivyo...Naweza sema kwa hali niliyonayo naomba hata aniache yeye.
Pumba na Point zinaruhusiwa.
Karibuni.
Umemwona Erica hapo juu?
nimemsoma
ame assume hawaendi out ..
ila najua ukimchoka mwanamke hata mkienda out utaishia kutazama wengine
mwisho mgombane.....