#USHAURI_KWA_WANACCM_na_SERIKALI

#USHAURI_KWA_WANACCM_na_SERIKALI

Joined
May 5, 2015
Posts
34
Reaction score
67
Chanzo Cha Machafuko yoyote Duniani ni #UHURU

#UHURU. ni Jambo Muhimu sana. Hasa Uhuru wa kutoa Maoni yako

Watu walipigana Against Ukoloni. Source ni UHURU

Issue sio Basic Needs #Inshu_ni_Uhuru.

Leo Tunawashangaa Libya kwanini waliamua Kumpindua Muammar Gadaffi. Wakati Mzee wa Watu aliwapatika kila kitu.

1: Aliweka Maji Hadi kwenye Majangwa
2: Kuoa kwa hisani ya serikali
3: Mtoto kuzaliwa kwa hisani ya serikali
4: Kazi za kutosha
5: Pesa ilikuwepo.

Issue sio Basic Needs, Inshu sio pesa. Inshu kubwa iliyomtoa Gaddaf ni #Freedom

Watu walikosa Uhuru wa kuongea. Na hawakuona Umuhimu wa hivyo vyote alivyovifanya.

Mnachekelea tu humu ndani kuvunjwa Katiba Makusudi kama Tunafanya Ushabiki wa Mpira.

Kama mtu anaongea Pumba Muache azitoe zote. Tafuta namna ya Kumjibu Lakini awe huru.

Hamjui Kinachowaumiza Watu ni kitu gani.

Issue ya Basic Needs ni Ndogo sana Kwenye #Uhuru_wa_Binadamu

Kama Mtu havunji sheria anajaribu tu Kupitia bajeti ambayo kila mtanzania anaijua. Kwanini umkataze?

Kama anapotosha Si Utamkosoa? Hiyo ndiyo Demokrasia.

Kama Kazi ya Polisi ni Kulinda Raia na Mali zao Mtu kaomba Kufanya Mkutano wa hadhara na Ukampa Go ahead

Unamtawanya kwa Mabomu ya Machozi ya nini tena?

Unalinda Raia na Mali zao au Unatesa Raia na Mali zao?

Kwa JK. Uhuru ulikuwepo. Lakini Maisha Yalikuwa #Magumu.

Watu walitoa hasira zao Kupitia Uhuru wao wa Kutoa maoni na Maisha yaliendelea. (Hili ni suala la kisaikolojia)

Leo Maisha Magumu zaidi hata yalivyokuwa Chini ya Kikwete. Watu wana hasira.

Na Ule uhuru Wa Kuongea ili Wamalize Sumu zao vifuani pia Umewazuia.

Unawatengenezea Mabomu Mioyoni Mwao. Unawatengenezea Sumu Kali zaidi iliyojilimbikiza.

Nini Matokeo yake sasa?

Ni Mfano wa Volcano hai.
Miamba Huyeyuka huko chini. Hujilimbikiza Kwa Muda Mrefu na inakosa pa Kutokea.

Na Ndiyo Maana Siku ikitoka hiyo volkano huwa hatusemi #imemwagika bali Tunasema #Imeripuka

Kulipuka ni Matokeo ya #High_Pressure_na_High_Pressure_ni_Matokeo_ya_Low_pressure_kujilimbikiza_kwa_Muda

Mlipuko huwa hauangalii ni nani aliyepo? ni lini? ni wapi? na saa ngapi?

Madhara ya milipuko ni makubwa mno.

Tunashangilia Uvunjwaji wa Sheria leo hii. Kisa anaefanya ni Mtu wa Chama Chetu.

Madhara yake hayatawahusu CCM, Hayatawahusu CDM, Hayatawahusu CUF na wala ACT.

Madhara ya Mlipuko ni ya Tanzania. Watoto kwa wazee. Vijana kwa Wamama.

Tupo humu ndani tunashangilia. Group lisilozidi hata watu 500 tunatetea hata kama serikali inakosea. Nje ya group kuna Watu zaidi ya Milioni 45 Hatujui wanawaza nini.

Tumeshindwa Kutumia Uchache wetu Kumshauri Rais na Kuikomboa Tanzania na Majanga ya Baadae.

Tunatakiwa Kuwa Makini sana Kama Kweli tunaipenda Tanzania.

Jiulize. Hivi Ni wapi Ulishawahi kusikia Kumetokea Machafuko kwa sababu kubwa ya Njaa?

Jiulize source ya Machafuko ni nini? Na Serikali hii Leo hii inafanya nini?

""""We have to be Free thinkers for the sake of Our Nation, Our Tanzania and Our Homeland.""""

USHAURI WANGU KWA MHE.RAISI DR. JOHN POMBE MAGUFULI

Kuwa Kiongozi ni Mzigo Mzito. Unatakiwa kuongoza na Sio Kutawala.

Huwezi Kufanya kila kitu kikawa sawa Mheshimiwa. Usiogope Kukosolewa.

Na kukosolewa ndo kujifunza. Kuwa Raisi haimaanishi kuwa Unajua kila kitu. Bali ni wadhifa tu wa Kisiasa.

Linda Amani Yetu ili Isiwe Utulivu wetu. Heshimu Katiba uliyoapa Kuilinda

#UTATUPOTEZA

By Free Thinker.
 
"Kila mmoja afanye siasa kwenye eneo alilochaguliwa,Kingu mbunge wa ikungi magharibi afanye mikutano palepale kwake alipoahidi shughuli za maendeleo,Mbowe afanye siasa palepale hai alipochaguliwa na kuahidi kuwapa maendeleo,kila mmoja aliyechaguliwa afanye siasa eneo lake.Sitaki kuona mtu anatoka HAI anakwenda KAHAMA kufanya mikutano n.k Mbunge au Diwani wa HAI au Mbeya anamamlaka ya kuingia kwenye vikao vya maendeleo ndani ya majimbo yao,huwezi kuwa Mbunge wa Ubungo vikao vya maendeleo ukafanyie Tarime.

Mimi (Rais) pekee ndiye natakiwa kuzunguka nchi nzima kila jimbo kufikisha maendeleo niliyowaahidi watanzania wote.

Wanaotaka kuandamana au kufanya mikutano kiholela kwanini wanasubiri mwezi wa 9?Wafanye mikutano hata leo ili wajue mimi ni nani.Siwezi kugeuza hii nchi ya siasa,nataka nchi ya maendeleo tu.
Siasa zilishakwisha wakati wa KAMPENI,muda huu ni KAZI TU."

JPM
SINGIDA leo
29.07.2016
 
Chanzo Cha Machafuko yoyote Duniani ni #UHURU

#UHURU. ni Jambo Muhimu sana. Hasa Uhuru wa kutoa Maoni yako

Watu walipigana Against Ukoloni. Source ni UHURU

Issue sio Basic Needs #Inshu_ni_Uhuru.

Leo Tunawashangaa Libya kwanini waliamua Kumpindua Muammar Gadaffi. Wakati Mzee wa Watu aliwapatika kila kitu.

1: Aliweka Maji Hadi kwenye Majangwa
2: Kuoa kwa hisani ya serikali
3: Mtoto kuzaliwa kwa hisani ya serikali
4: Kazi za kutosha
5: Pesa ilikuwepo.

Issue sio Basic Needs, Inshu sio pesa. Inshu kubwa iliyomtoa Gaddaf ni #Freedom

Watu walikosa Uhuru wa kuongea. Na hawakuona Umuhimu wa hivyo vyote alivyovifanya.

Mnachekelea tu humu ndani kuvunjwa Katiba Makusudi kama Tunafanya Ushabiki wa Mpira.

Kama mtu anaongea Pumba Muache azitoe zote. Tafuta namna ya Kumjibu Lakini awe huru.

Hamjui Kinachowaumiza Watu ni kitu gani.

Issue ya Basic Needs ni Ndogo sana Kwenye #Uhuru_wa_Binadamu

Kama Mtu havunji sheria anajaribu tu Kupitia bajeti ambayo kila mtanzania anaijua. Kwanini umkataze?

Kama anapotosha Si Utamkosoa? Hiyo ndiyo Demokrasia.

Kama Kazi ya Polisi ni Kulinda Raia na Mali zao Mtu kaomba Kufanya Mkutano wa hadhara na Ukampa Go ahead

Unamtawanya kwa Mabomu ya Machozi ya nini tena?

Unalinda Raia na Mali zao au Unatesa Raia na Mali zao?

Kwa JK. Uhuru ulikuwepo. Lakini Maisha Yalikuwa #Magumu.

Watu walitoa hasira zao Kupitia Uhuru wao wa Kutoa maoni na Maisha yaliendelea. (Hili ni suala la kisaikolojia)

Leo Maisha Magumu zaidi hata yalivyokuwa Chini ya Kikwete. Watu wana hasira.

Na Ule uhuru Wa Kuongea ili Wamalize Sumu zao vifuani pia Umewazuia.

Unawatengenezea Mabomu Mioyoni Mwao. Unawatengenezea Sumu Kali zaidi iliyojilimbikiza.

Nini Matokeo yake sasa?

Ni Mfano wa Volcano hai.
Miamba Huyeyuka huko chini. Hujilimbikiza Kwa Muda Mrefu na inakosa pa Kutokea.

Na Ndiyo Maana Siku ikitoka hiyo volkano huwa hatusemi #imemwagika bali Tunasema #Imeripuka

Kulipuka ni Matokeo ya #High_Pressure_na_High_Pressure_ni_Matokeo_ya_Low_pressure_kujilimbikiza_kwa_Muda

Mlipuko huwa hauangalii ni nani aliyepo? ni lini? ni wapi? na saa ngapi?

Madhara ya milipuko ni makubwa mno.

Tunashangilia Uvunjwaji wa Sheria leo hii. Kisa anaefanya ni Mtu wa Chama Chetu.

Madhara yake hayatawahusu CCM, Hayatawahusu CDM, Hayatawahusu CUF na wala ACT.

Madhara ya Mlipuko ni ya Tanzania. Watoto kwa wazee. Vijana kwa Wamama.

Tupo humu ndani tunashangilia. Group lisilozidi hata watu 500 tunatetea hata kama serikali inakosea. Nje ya group kuna Watu zaidi ya Milioni 45 Hatujui wanawaza nini.

Tumeshindwa Kutumia Uchache wetu Kumshauri Rais na Kuikomboa Tanzania na Majanga ya Baadae.

Tunatakiwa Kuwa Makini sana Kama Kweli tunaipenda Tanzania.

Jiulize. Hivi Ni wapi Ulishawahi kusikia Kumetokea Machafuko kwa sababu kubwa ya Njaa?

Jiulize source ya Machafuko ni nini? Na Serikali hii Leo hii inafanya nini?

""""We have to be Free thinkers for the sake of Our Nation, Our Tanzania and Our Homeland.""""

USHAURI WANGU KWA MHE.RAISI DR. JOHN POMBE MAGUFULI

Kuwa Kiongozi ni Mzigo Mzito. Unatakiwa kuongoza na Sio Kutawala.

Huwezi Kufanya kila kitu kikawa sawa Mheshimiwa. Usiogope Kukosolewa.

Na kukosolewa ndo kujifunza. Kuwa Raisi haimaanishi kuwa Unajua kila kitu. Bali ni wadhifa tu wa Kisiasa.

Linda Amani Yetu ili Isiwe Utulivu wetu. Heshimu Katiba uliyoapa Kuilinda

#UTATUPOTEZA

By Free Thinker.
Libya nadhani walifika point of no return ya: Heri kula mavi na mkojo kwenye uhuru kuliko pilau kwenye utumwa. "Usimjaribu utashughulikiwa bila huruma"! Time will tell!
 
Acha siasa uchwara, tujenge nchi yetu
 
Tanzania ina watu wenye akili sn miaka hii,mfano ni mleta mada.Na ikumbukwe "HATA BUIBUI HUNG'ATA"
Wangejua huku mtaani wayawazayo watu!!?!
 
Libya nadhani walifika point of no return ya: Heri kula mavi na mkojo kwenye uhuru kuliko pilau kwenye utumwa. "Usimjaribu utashughulikiwa bila huruma"! Time will tell!

Kwa akili yako ndugu Ruta kipi kilicho bora?
 
Chanzo Cha Machafuko yoyote Duniani ni #UHURU

#UHURU. ni Jambo Muhimu sana. Hasa Uhuru wa kutoa Maoni yako

Watu walipigana Against Ukoloni. Source ni UHURU

Issue sio Basic Needs #Inshu_ni_Uhuru.

Leo Tunawashangaa Libya kwanini waliamua Kumpindua Muammar Gadaffi. Wakati Mzee wa Watu aliwapatika kila kitu.

1: Aliweka Maji Hadi kwenye Majangwa
2: Kuoa kwa hisani ya serikali
3: Mtoto kuzaliwa kwa hisani ya serikali
4: Kazi za kutosha
5: Pesa ilikuwepo.

Issue sio Basic Needs, Inshu sio pesa. Inshu kubwa iliyomtoa Gaddaf ni #Freedom

Watu walikosa Uhuru wa kuongea. Na hawakuona Umuhimu wa hivyo vyote alivyovifanya.

Mnachekelea tu humu ndani kuvunjwa Katiba Makusudi kama Tunafanya Ushabiki wa Mpira.

Kama mtu anaongea Pumba Muache azitoe zote. Tafuta namna ya Kumjibu Lakini awe huru.

Hamjui Kinachowaumiza Watu ni kitu gani.

Issue ya Basic Needs ni Ndogo sana Kwenye #Uhuru_wa_Binadamu

Kama Mtu havunji sheria anajaribu tu Kupitia bajeti ambayo kila mtanzania anaijua. Kwanini umkataze?

Kama anapotosha Si Utamkosoa? Hiyo ndiyo Demokrasia.

Kama Kazi ya Polisi ni Kulinda Raia na Mali zao Mtu kaomba Kufanya Mkutano wa hadhara na Ukampa Go ahead

Unamtawanya kwa Mabomu ya Machozi ya nini tena?

Unalinda Raia na Mali zao au Unatesa Raia na Mali zao?

Kwa JK. Uhuru ulikuwepo. Lakini Maisha Yalikuwa #Magumu.

Watu walitoa hasira zao Kupitia Uhuru wao wa Kutoa maoni na Maisha yaliendelea. (Hili ni suala la kisaikolojia)

Leo Maisha Magumu zaidi hata yalivyokuwa Chini ya Kikwete. Watu wana hasira.

Na Ule uhuru Wa Kuongea ili Wamalize Sumu zao vifuani pia Umewazuia.

Unawatengenezea Mabomu Mioyoni Mwao. Unawatengenezea Sumu Kali zaidi iliyojilimbikiza.

Nini Matokeo yake sasa?

Ni Mfano wa Volcano hai.
Miamba Huyeyuka huko chini. Hujilimbikiza Kwa Muda Mrefu na inakosa pa Kutokea.

Na Ndiyo Maana Siku ikitoka hiyo volkano huwa hatusemi #imemwagika bali Tunasema #Imeripuka

Kulipuka ni Matokeo ya #High_Pressure_na_High_Pressure_ni_Matokeo_ya_Low_pressure_kujilimbikiza_kwa_Muda

Mlipuko huwa hauangalii ni nani aliyepo? ni lini? ni wapi? na saa ngapi?

Madhara ya milipuko ni makubwa mno.

Tunashangilia Uvunjwaji wa Sheria leo hii. Kisa anaefanya ni Mtu wa Chama Chetu.

Madhara yake hayatawahusu CCM, Hayatawahusu CDM, Hayatawahusu CUF na wala ACT.

Madhara ya Mlipuko ni ya Tanzania. Watoto kwa wazee. Vijana kwa Wamama.

Tupo humu ndani tunashangilia. Group lisilozidi hata watu 500 tunatetea hata kama serikali inakosea. Nje ya group kuna Watu zaidi ya Milioni 45 Hatujui wanawaza nini.

Tumeshindwa Kutumia Uchache wetu Kumshauri Rais na Kuikomboa Tanzania na Majanga ya Baadae.

Tunatakiwa Kuwa Makini sana Kama Kweli tunaipenda Tanzania.

Jiulize. Hivi Ni wapi Ulishawahi kusikia Kumetokea Machafuko kwa sababu kubwa ya Njaa?

Jiulize source ya Machafuko ni nini? Na Serikali hii Leo hii inafanya nini?

""""We have to be Free thinkers for the sake of Our Nation, Our Tanzania and Our Homeland.""""

USHAURI WANGU KWA MHE.RAISI DR. JOHN POMBE MAGUFULI

Kuwa Kiongozi ni Mzigo Mzito. Unatakiwa kuongoza na Sio Kutawala.

Huwezi Kufanya kila kitu kikawa sawa Mheshimiwa. Usiogope Kukosolewa.

Na kukosolewa ndo kujifunza. Kuwa Raisi haimaanishi kuwa Unajua kila kitu. Bali ni wadhifa tu wa Kisiasa.

Linda Amani Yetu ili Isiwe Utulivu wetu. Heshimu Katiba uliyoapa Kuilinda

#UTATUPOTEZA

By Free Thinker.
 
Waliomuondoa Ghadafi Libya hawakuwa watu wa libya, wo walitumiwa 2. Wameachwa wakipigana wao kwa wao. Waliofanya hiyo dhuruma nao yanawatokea puani sasa. Tusikubali kutumiwa
 
Una akili sana ndg yangu... Nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom