Wakubwa shikamoni,wadogo habari zenu, mimi ni kijana mweny umri wa miak 25, nipo chuo kikuu cha arusha, nilizaa na mtoto wa mchungaji huko dar nikiwa na jiandaa kujiunga chuo,na nilipokuja chuo nikampenda msichana mwingine toka moyon na mpaka sasa nipo nae na ni mjamzto na hali ya maisha ni ngum sana sasa na cna boom na cna ela ninachanganyikiwa cjui nifanyaje mambo ni magum naombeni ushaur ndugu zangu. Asanten