Ushauri

Ushauri

Status
Not open for further replies.

USHAURI

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
17
Reaction score
8
Habari za siku wana jamvi na poleni sana kwa kazi ngumu za ujenzi wa taifa.

"wapendwa wana MMU na JF kwa ujumla, nimeombwa niitambulishe kwenu hii ID ambayo lengo lake kuu ni kutoa ushauri unaOhusu maswala nyeti ya kifamilia, mahusiano, mapenzi na urafiki kwa wale ambao kwa sababu moja au nyingine wanashindwa kubandika issues zao humu jukwaani; hivyo wanaweza tuma ujumbe wa siri (PM) kwenye ID hiyo na kupata ushauri au counseling kule bila mambo yako kujulikana. Hii imetokana na kuwa baadhi yetu tunajuana kwa ID zetu hivyo tunasita kuweka matatizo yetu kwa kuhofia huenda mume/mke/rafiki/buddy wangu anaweza asome na akahisi ni mimi"

Ninaomba kama ukiona kwamba hii post hujaipenda basi wewe ipotezee ila kama ukiona inatija kwa wengine basi usisite kusema chochote kizuri ili iweze kutumiwa vizuri.

Pia uwepo wa ID hii hauna maana kwamba utamnyima mwana jamvi kutuma pm kwa mtu anayemwamini juu ya swala lake. Hapa kinachofanyika ni kuweka ule usiri wa mambo nyeti ambayo huwa watu wengine wanaona aya kuyaelezea hapa jamvini ama kueleza kwenye PM za memba ambao wanawafahamu.

Wenu katika ushauri
USHAURI.
 
USHAURI nimeipenda sana mbnu yako mpya ya kukamatia warembo
Habari za siku wana jamvi na poleni sana kwa kazi ngumu za ujenzi wa taifa.

"wapendwa wana MMU na JF kwa ujumla, nimeombwa niitambulishe kwenu hii ID ambayo lengo lake kuu ni kutoa ushauri unaOhusu maswala nyeti ya kifamilia, mahusiano, mapenzi na urafiki kwa wale ambao kwa sababu moja au nyingine wanashindwa kubandika issues zao humu jukwaani; hivyo wanaweza tuma ujumbe wa siri (PM) kwenye ID hiyo na kupata ushauri au counseling kule bila mambo yako kujulikana. Hii imetokana na kuwa baadhi yetu tunajuana kwa ID zetu hivyo tunasita kuweka matatizo yetu kwa kuhofia huenda mume/mke/rafiki/buddy wangu anaweza asome na akahisi ni mimi"

ninaomba kama ukiona kwamba hii post hujaipenda basi wewe ipotezee ila kama ukiona inatija kwa wengine basi usisite kusema chochote kizuri ili iweze kutumiwa vizuri.

Pia uwepo wa ID hii hauna maana kwamba utamnyima mwana jamvi kutuma pm kwa mtu anayemwamini juu ya swala lake. Hapa kinachofanyika ni kuweka ule usiri wa mambo nyeti ambayo huwa watu wengine wanaona aya kuyaelezea hapa jamvini ama kueleza kwenye PM za memba ambao wanawafahamu.

Wenu katika ushauri
USHAURI.
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu usiri? by the way mimi nimeipenda na nina hisi nitaitumia!

Usiri utakuwa mkubwa sana sana na wa kuaminika. Pia itakuwa kwamba hakuna atakayejua kwamba uliomba ushauri
 
Lol! Vipi wewe ndoa yako iko imara? Tafuta frem mjini uweke bango la ushauri nasaha! Sanasana hapa watakulaghai tu, Nwy huenda wapo wenye mawazo tofauti na yangu watakupm!
 
Ngoja nije nipate ushauri mie labda nitafanikiwa kuiondoa sisim
 
Mimi nahitaji ushauri aiseee! Naogopa sanaa kuolewa! It gives me creapies! Nimeshakataa wachumba wa 4 mmoja keshaoa! Wengine naona nimewaambikiza my marriage phobia!

Siendagi kanisani kwenye harusi za watu, hivo nimewadissapoint wengi kwa kukataa umaids of honor kisa tu i can stand seeing 2 siners by nature lie to God by swearing in vain infront of people.

To me i am a realist and i know people change with time for better or worse by they do change! And personaly i have longterm anger management issues and an overbearing ego! All ma life i do what i want and i walk away from anything i dont like or i get tired of. That involves series of jobs, series of schools, BFs and some relatives of mine which i shut them out of my life untill i decide otherwise.

Most marriages are phsyco!, Lying and deceiving each other, faking emotions, sayin what u are expected to say and not what u realy think, Mumeo anakitombesha huko una aibika wewe, na mengine mengine of which i can never stand!

Now i have a BF anataka kunioa bt i jst dnt think im ready, all ma friends including Lara 1 Think if i wont marry this guy im finished oooooooooooh since i aint getting any younger!

Please Advice me USHAURI!

Lara 1's class mate.
 
Mwanaume anatukananaje na mwanamke bhana? It sucks kwa kweli....! Kila m2 kwa nafasi yake amuheshimu mwenzie jamani! Kunyamaza ni kuzuri...hata wakati mwingne mpumbavu anyamazapo hudhaniwa ako na busara! Mmeharibu uzi wa watu....NAOMBENI KAMA HAMTAJALI MFUTE POST ZENU ILI UZI UBAKI NA CONTENT ILIYOKUSUDIWA! Thanx
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom