Ushauri

Ushauri

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
188
Reaction score
154
Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu?
 
Naomba kuwauliza damu iliyo vilia inatakiwa kukandwa na maji ya moto au barafu?
Barafu na ukandaji wake weka Hilo barafu kwenye kitambaa cha taulo au Nguo yoyote ndio ukande barafu likiwa limefungwa kwenye kitambaa hicho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom