Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Haya sala rahis hii hapa mfundisheWapendwa wasalaam!!!
Niko kwenye ndoa changa, mke wangu ni mtulivu sana na mkimya pia.
Ninalo mpishi mzuri na mwenye bidii ya kazi.
Sasa kuna suala moja simuelewi. Kila anandaa chakula mezani. Ukifika muda wa kula huwa haombi badala yake husubiri mimi niombee chakula ndipo tunakula. Na mimi kwa kweli ninafanya hivyo.
Lakini navyojua ni kwamba mpishi anatakiwa kuombea chakula, mwenzangu anasema sijui.
Sasa nisaidieni njia rahisi ya kumfundisha kusali kuombea chakula kilicho mezani na Sala kushukuru baada ya kula.
Ni hilo tu. Asanteni sana
Inawezekana jamaa ndio wale wa kusogezewa mpaka remoti....Acha ulalamishi bwana aah kwani wewe ukisali unaumia mahali? Mbona yeye anapika kila siku asemi, wewe sali tuu siku akichoka kuskiliza sala zako ataomba asali mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeeKhaaaaaa
Yaani hata kuombea unaona kazi????
Khaaaaaa
Mnunulie vitabu vya sala mpe asome akariri, na umuache mpaka atakapokuwa tayari kusali mbele, maana sometime kusali mbele ya mtu ama watu ni kipaji pia,Naona sijaeleweka mahali. Nimesema naombea chakula.
Tatizo ni mwenzangu anasema hajui kuombea chakula.
Nimekuja hapa kuseek help namna ya kufundisha wife namna ya kuombea chakula yaani nianzie wapi kumfundisha!?