aongezewe ulinzi na nani? kujilinda dhidi ya nani?Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .
Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
Wasiojulikana, wanaweza kuja na vifaru kabisa baada ya njugu mawe kufail kwa Lissu.Ila Jamaa ana mikoba ya Juma Njemba ataisambaratisha ghamboshiaongezewe ulinzi na nani? kujilinda dhidi ya nani?
Wakija na vifaru je, mzizima 3Kama hawataki kutumia pesa za umma kumlinda, wanaompenda wanashindwa kweli kumpa ulinzi shirikishi? Yaani kila atakapokuwepo anajilinda yeye mwenyewe na wananchi waliokaribu naye nao wanashiriki kumlinda huku naye akiwalinda. Kama tunavyofanya mitaani.
Kwa sasa hivi kama sio Mh Zitto atakuwa ni nani atakayewasemea wasiotaka mambo yanayofanywa bila taratibu zilizowekwa yasifanywe? Kutoweka kwa Zitto kwa njama zozote maana yake ni moja tu; kuwanyamazisha wanaotafuta ukweli na haki katika taifa letu
Sauti iliyobaki ni ya Mh Zitto, na kama jambo lolote baya likitokea kwa Zitto sasa hivi itaeleweka bila ya shaka yoyote, kama ilivyokuwa kwa Mh Lissu ni nani atakuwa ni mhusika kwa kutoweka huko.
Watu waliopofushwa na kuleweshwa na madaraka wanaweza wasione madhara yoyote kwao kwa kufanya hivyo. Lakini, ni nani ajuae?
Swali rahisi sana !aongezewe ulinzi na nani? kujilinda dhidi ya nani?
hiyo single ilikuwa kwenye VHS (analogy)..... hizi deki siku hizi hazipo mtaani. jipangeni kidijitali.Ni kweli, maana kama kalamba hela za wazungu lazima wazungu wamtafute wamtwange risasi, awahi haraka polisi na aombe ulinzi. Ila wajifunze, hakuna msaliti wa nchi yake ambaye huwa anabaki salama, eventually wazungu wakishachoka kukutumia wanakuua au kukubwaga.
yaani aunge mkono juhudi kwa kuhamia CCM au?KWANZA ZITO AMESHASEMA YEYE NI MCHA WI NA NI MWANGA KWELI .SASA ULINZI WA NINI WAKATI YUPO FIT.MWACHE APAMBANE.KUNA KITU ANAKIKOSA ZITO NDIYO MAANA AMEATHIRIKA KUSAIKOLOJIA.AWAMU ILIYOTANGULIA ALITUMIA HILA NA VITISHO HIVYO KUINGIZWA KATIKA KAMATI AMBAPO ALIKUWA ANAVUNA MAPESA MENGI .AWAMU HII NGUMU HAKUNA PA KUSHIKA.ANAPATA HASIRA ,ANAVIMBA,ANAFURA LAKINI WAPI.JAMANI NDUGUZANGUNI MAGUFULI ANATISHA.ANATAKA PESA ZINUFAISHE NCHI .WEZI,WAHUJUMU NA MATAPELI WA KISIASA KAMA ZITTO WANAISHIWA DAMU.USHAURI WANGU KWA BWANA MDOGO ZITTO: KAMA HUWAWEZI UNGANA NAO.
Kisheria matumizi yote ya hela za umma yanapaswa kuidhinishwa na bunge , Mtu anayepanga matumizi chumbani kwake haaminiki na wala hapaswi kuchekewaKWANZA ZITO AMESHASEMA YEYE NI MCHA WI NA NI MWANGA KWELI .SASA ULINZI WA NINI WAKATI YUPO FIT.MWACHE APAMBANE.KUNA KITU ANAKIKOSA ZITO NDIYO MAANA AMEATHIRIKA KUSAIKOLOJIA.AWAMU ILIYOTANGULIA ALITUMIA HILA NA VITISHO HIVYO KUINGIZWA KATIKA KAMATI AMBAPO ALIKUWA ANAVUNA MAPESA MENGI .AWAMU HII NGUMU HAKUNA PA KUSHIKA.ANAPATA HASIRA ,ANAVIMBA,ANAFURA LAKINI WAPI.JAMANI NDUGUZANGUNI MAGUFULI ANATISHA.ANATAKA PESA ZINUFAISHE NCHI .WEZI,WAHUJUMU NA MATAPELI WA KISIASA KAMA ZITTO WANAISHIWA DAMU.USHAURI WANGU KWA BWANA MDOGO ZITTO: KAMA HUWAWEZI UNGANA NAO.
kwanini Lissu aliuawa ?Kwanini auawe??
Aongezewe ulinzi na nani na kwa sababu zipi? halafu wewe mwenyewe umeshindwa kujishauri,huo ushauri wako nani atausikiliza,kwa maana umekaa kinafiki.Nimeandika hili nikiwa na kumbukumbu ya Shambulizi la Mh Tundu Lissu , hakuna asiyejua kilichotokea na hakuna haja ya kuwachosha kwa kurudia rudia .
Nashauri Zitto kabwe ambaye yuko upande wa wananchi kama alivyokuwa Lissu kabla ya kumiminiwa contena la risasi , AONGEZEWE ULINZI HARAKA SANA .
ukisikia ng'weeee ujue tayari ! ujumbe umekufikiaAongezewe ulinzi na nani na kwa sababu zipi? halafu wewe mwenyewe umeshindwa kujishauri,huo ushauri wako nani atausikiliza,kwa maana umekaa kinafiki.
asante kwa uzalendo wakoView attachment 993697Mi najitolea
We jamaa una roho kutu!hivi chadema mmeanza lini kumpenda zitto?
chadema wakitoa walinzi ndio hao hao watammaliza zitto na kisha mtasingizia CCM
You have been silence and a bit changed. No pun intendedšNitakuwa binaadam wa mwisho kabisa kumuamini Zitto Kabwe.
Unafahamu jukwaa la mapenzi?mpeni Red Brigades