Ushauri: Zitto Kabwe aongezewe ulinzi

Ofisi ya CAG sio siasa, ni taaluma tena kwa manufaa ya watanzania wote. Hakuna tofauti yoyote kma maoni ya CAG angetoa akiwa nchini au nje ya nchi, ukweli uko pale pale, na ukiona spika na watu kama wewe wanakuwa wakali wakipewa challenge huo ndo udhaifu unadhihirika. Kwa taarifa yako CAG ni CCM pure sio mamluki lakini anafanya kazi kwa ethics na utashi, i discredit huyu spika wetu anavyokurupuka kwa jazba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingine ninyi makamanda ni watu hovyo sana!
Agenda ngapi ndani ya miezi miwili mmeshabadilisha bila kufikia kikomo?
Hamjui hata anayetumika ni nani na asiyetumika ni nani!
Kazi kuingia kichwa kichwa tu!
Aitsee!nawaonea huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakuwa binaadam wa mwisho kabisa kumuamini Zitto Kabwe.
Nafikiri tutagongana kwenye hiyo namba.
Tatizo la makamanda ni kuingia kichwa kichwa kwenye kila hoja inayoibuliwa bila kupima.
Kwenye nyingine zinaibuliwa na system kuwavuruga lakini kwa kuwa hawapimi kitu,wanajikuta wanakuwa upande wa wale wanaotumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hivi kama sio Mh Zitto atakuwa ni nani atakayewasemea wasiotaka mambo yanayofanywa bila taratibu zilizowekwa yasifanywe? Kutoweka kwa Zitto kwa njama zozote maana yake ni moja tu; kuwanyamazisha wanaotafuta ukweli na haki katika taifa letu

Sauti iliyobaki ni ya Mh Zitto, na kama jambo lolote baya likitokea kwa Zitto sasa hivi itaeleweka bila ya shaka yoyote, kama ilivyokuwa kwa Mh Lissu ni nani atakuwa ni mhusika kwa kutoweka huko.

Watu waliopofushwa na kuleweshwa na madaraka wanaweza wasione madhara yoyote kwao kwa kufanya hivyo. Lakini, ni nani ajuae?
 

Na kwa haya uliyoyaandika hapa unajiona umetoa bonge la fikra kubwa! Ngoja nikusaidie zaidi. Mwambie Magufuli apunguze gharama za uendeshaji bunge na takataka nyingine zote, hata zile za mahakama ili pesa yote ya waTanzania aipangie matumizi yanayofaa yeye.
 
Una tatizo la macho nini mkubwa?

Huko shuleni ulikosoma, mwalimu aliyekufundisha kuandika insha (essay) kwa herufi kubwa (uppercase) anapaswa kunyang'anywa leseni ya ualimu wake!!

Amekuambukiza ujinga nawe unausambaza kwenye jamii bila hata kujua!!
Mkuu changia KWA kutumia bongo siyo kalio.
 
Hongeraa wewe uliyetoa tope badala ya kutoa mchango KWA ajenda iliyopo mezani.
 
Ni kweli, maana kama kalamba hela za wazungu lazima wazungu wamtafute wamtwange risasi, awahi haraka polisi na aombe ulinzi. Ila wajifunze, hakuna msaliti wa nchi yake ambaye huwa anabaki salama, eventually wazungu wakishachoka kukutumia wanakuua au kukubwaga.
 
Kama hawataki kutumia pesa za umma kumlinda, wanaompenda wanashindwa kweli kumpa ulinzi shirikishi? Yaani kila atakapokuwepo anajilinda yeye mwenyewe na wananchi waliokaribu naye nao wanashiriki kumlinda huku naye akiwalinda. Kama tunavyofanya mitaani.
 

Una maana huyo Zitto ana ulinzi tayari kwa hiyo unataka aongezewe?? Au una maana apewe ulinzi???
 
Mungu hana shirki na mchawi, ZZK alishasema yeye analinndwa na shetani ukimjaribu utakuta bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…