The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde chama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.
Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule... CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.
Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.
Mimi naona this way it is better kwa kila mtu Zitto na CHADEMA pia.