USHAURI; zawadi ya birthday

nunua jogoo na mchele mkapike kwake/kwao, kamnunulie mihogo pale koko bichi.

Hayo mengine utakuwa unataka kuwa mpenzi.
 
Hizi desturi zingine balaa, kama huyo bidada ana birthday yake unampa zawadi amefanya nini??? Hebu usituangushe banaa... tafuta bonge la zawadi tena lenye 'akili' mpelekee mama yake, ndiye anayestahili zawadi kwa kumbukumbu ya kujifungua hako kamiss! Ukishafanya hivyo siku nyingine yoyote mfanyie surprise huyo bidada, mpelekee hizo zawadi za perfume, vyupi, chocolate, na mazagazaga mengine,Haaahaaaa!!
 
More than a friend. . .less than a lover.
Mnunulie panties ili muache kuwa vuguvugu na kuwa moto kabisa.

teh teh ...Lizzy umenikumbusha miaka flani kuna kadada flani kalikuwa kanataka kuniingiza katika ujinga huu wa kimagharibi nikanunulia panties, basi ukaribu ndo ukaishia palele maana alikuwa ustadhati na alisema yeye hachagui zawadi.
 

swts...na demu wake atampa zawadi gani?
 
lol kweli JF imebeba watu, nimeishia kusoma comments nimecheka sana... BTP
, wewe jaribu kumsoma yeye anapendelea vitu gani na hivyo hivyo ndo umpatie, sio umpelekee mtu kitu ambacho sio preference yake haitaleta maana hata kidogo ndugu..
 
kwanza ni rafiki yako wa karibu, angalau utakuwa unamfahamu vizuri na taste zake.
- Necklace & earrings
- Electronic gadget eg. iPod, mp3 player
- Ladies accessories box (ya kuweka collection zake za necklaces, earrings, rings etc)
- Perfume (inategemea kama ana-identity ya perfume fulani or she likes to try out)
- Novel (kama anapenda kusoma vitabu)
 
mpeleke zawadi ya miogo,jaribu kuifunga vizuri kwenye gift paper,alaf nunua card ya mapenz weka. ata furah sana kuona hizo zawadi. na uache mchezo wa kusema more than friend, unampenda ila ujui pakuanzia,its your chance now tumia.
ushauri mzuri
 
lol kweli JF imebeba watu, nimeishia kusoma comments nimecheka sana... BTP
, wewe jaribu kumsoma yeye anapendelea vitu gani na hivyo hivyo ndo umpatie, sio umpelekee mtu kitu ambacho sio preference yake haitaleta maana hata kidogo ndugu..

Mimi nitampa card
 
Wazazi wetu birth day zao huwa tunawanunulia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…