Ushauri wenye uzoefu

Deliver

Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
61
Reaction score
17
Nina mchumba ambae niko nae kwa miaka 4 soon atakua mke maana hata mahari ilishalipwa bado ubwabwa 2 sasa inatakiwa 2kapime ngoma na sijawahi kupima tangu nizaliwe amenambia j3 asubuhi 2kapime kabala ya kwenda job maana siku nyingine hapati mda sababu ya kaz na kukwepa siwezi maana anaki2 kama miez miwili hivi wenye uzoefu inakuje maana kichwa kimeanza kuuma?
 
Nina swali kwako mkuu,kwa nini hamkupima kabla ya yote mahari etc kwanza?je mmoja wenu akikutwa anao inakuwaje?
 
Why unaogopa? Kama unao unao..kama huna huna.....mmepeana mimba kwanza Halafu ndo mnaenda kupima?
 
Mmeshakazana miaka 4 nw ndio mna pima?...akili au matope
 
Dogo we nenda huna hiyo makitu afu mwanaume inatakiwa uwe jasiri bana ukianza maisha ya pamoja itakuwaje?
 

Hahaaa!
Si ulikuwa unaona raha kugonga mbichi...
leo tu kichwa kinauma mpk kufka j3 na kuhara utahara kabisa..

hapana chezea ngwengwe...
 
Mmeshakazana miaka 4 nw ndio mna pima?...akili au matope

Mkuu hiyo siyo hiyari kwa mjamzito ni lazima! huwa wanashauri na wababa waende na wake zao sema wababa wanakula kona.
 
Mkuu hiyo siyo hiyari kwa mjamzito ni lazima! huwa wanashauri na wababa waende na wake zao sema wababa wanakula kona.

Mkuu baba sio lazima kupima anayetakiwa kupima ni mama aliyebeba mimba....mm nimempeleka mke wangu clinic mpk akajifungua fast track muhimbili sikuwahi kuckia wanasema lazima baba apime
 
Mkuu baba sio lazima kupima anayetakiwa kupima ni mama aliyebeba mimba....mm nimempeleka mke wangu clinic mpk akajifungua fast track muhimbili sikuwahi kuckia wanasema lazima baba apime

si unajua tena hawa ndoa yao bado changa ''japokuwa anasema bado hawajafunga ndoa'' so baby ni nyingi switiii ndo usiseme lazima waende pamoja, ila ni vizuri pia akajua afya yake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…