muda gani tena....3 years bado unaendelea tu kusubiri
Usiniogope bana. Sina mapembe...sina mkia...sili watu.
I'm harmless.
Ndio ni miaka mingi lakini kumbuka kwamba kila jambo huwa lina wakati wake muafaka...
Hata wewe hapo ulipo yawezekana kuna mambo ambayo waliopembeni wanahisi ungetakiwa kuwa umekwisha yafanya lakini kutokana na muda bado hayajafanyika..
unajua mi huwa nakuogopa.....sa ukiniambia nimekufurahisha nashangaaje
Never mind it was me thinking out Loudly......
unaogopa msukuma?
Aisee hiyo ni Zaidi ya subira ......
Usiniogope bana. Sina mapembe...sina mkia...sili watu.
I'm harmless.
Umemfurahisha haswaaa.
Heh hii kali 3 good years mnadinyana tu ht hujui makazi?be serious unafichwa si ajabu,mkomalie one day uende au peleleza mwnyw af piga suprise liwalo na liwe bt ushapajua
Kama nami ninavyosubiria!
deprettyn aidha huyo mtuHabari zenu wanajamvi....Nnampenzi wangu almost 3yrs tangu tuwepamoja..bt hajawai kunipeleka anapoishi hata mara mja na nnapomuuliza ananijibu kuwa"pale ni kwako na ipo cku utaenda na kufulahia na jua kwamba nakupenda na wewe ni kama mke wangu"!!na nnajua kila kitu kuhusu maisha yake ya nyuma kuwa anamtoto na anaishi na mama ake na anapokaa hyo mwanamke wake wa mwanzo na mtot napafahamu...bt tatizo ni kwamba kila nnapomwaleza kuhusu kwenda kwake ananipigisha kalenda....so swali langu ni kwamba je kweli ananipenda kwa dhati kama anavyodai au kunakitu ananificha!na hana mpango na mimi??msaada wenu wanajamvi natumai ushauli na c kejeli.
Y unasema hivyoKweli kila shetani na mbuyu wake...