Ushauri wenu

deprettyn

Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Habari zenu wanajamvi....Nnampenzi wangu almost 3yrs tangu tuwepamoja..bt hajawai kunipeleka anapoishi hata mara mja na nnapomuuliza ananijibu kuwa"pale ni kwako na ipo cku utaenda na kufulahia na jua kwamba nakupenda na wewe ni kama mke wangu"!!na nnajua kila kitu kuhusu maisha yake ya nyuma kuwa anamtoto na anaishi na mama ake na anapokaa hyo mwanamke wake wa mwanzo na mtot napafahamu...bt tatizo ni kwamba kila nnapomwaleza kuhusu kwenda kwake ananipigisha kalenda....so swali langu ni kwamba je kweli ananipenda kwa dhati kama anavyodai au kunakitu ananificha!na hana mpango na mimi??msaada wenu wanajamvi natumai ushauli na c kejeli.
 
Naona una shida kwenye L n R

anapokaaa mama watoto wake unapajua anapokaaa yeye hupajaui............Aisee
 
Kama aliweza kukwambia kuwa ana mtoto..
Na akakwambia anapoishi,...mimi nahisi anasababu ambazo ni nzuri kufanya hivyo.
Msubiri muda ukifika atakupeleka.
 
Kama aliweza kukwambia kuwa ana mtoto..
Na akakwambia anapoishi,...mimi nahisi anasababu ambazo ni nzuri kufanya hivyo.
Msubiri muda ukifika atakupeleka.

muda gani tena....3 years bado unaendelea tu kusubiri
 
Mhhhhhhh! Something is surely fishy
 
Heh hii kali 3 good years mnadinyana tu ht hujui makazi?be serious unafichwa si ajabu,mkomalie one day uende au peleleza mwnyw af piga suprise liwalo na liwe bt ushapajua
 
Bi dada ukimchunguza sana bwana Yahaya utamkinai...madhali penzi unapata huo upekenyuzi mwingine ni kujitafutia stress tu zinazozuilika!
 
Heee! Kwa hiyo huwa mnafanyia "maongezi" wapi?

Miaka 3 hujui anapoishi!!!!!! Mh kweli tupo tofauti.

Vumilia nadhani kwa muda ulovumilia huo basi bado kama miaka 2 upajue kwake. Si unaona ulikotoka ni mbali kuliko unakoenda kuwa mvumilivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…