Ushauri wenu

Ushauri wenu

Hivi lenovo V14 SMD 3020E
Kiuwezo ipoje inaweza kufanya mambo mazito? Mfano. Ku run Photoshop, Games kubwa kubwa? Chief-Mkwawa
Ni cpu nzuri mkuu lakini ni dual core tu. Itafanya mambo ya kawaida na photoshop ila games kubwa hazirun kwenye dual core.
 
Dah bora umenijulisha
3050E ambayo ni kubwa ya huyo yenyewe ni dual core lakini ina hyper thread angalau utarun games kama gta V, FIFA, pes na games nyengine ambazo sio nzito sana. Pia inakula umeme kidogo sana watts 6 tu.
 
Chief-Mkwawa Vp hii
Lenovo Laptop

IdeaPad S145-14IGM Celeron/4GB/1TB/14"/Dos
 
Back
Top Bottom