Ushauri wenu wakuu

Ushauri wenu wakuu

Aisee tuko tofauti Sana ! Mimi nikinusa harufu tu !naweza Nikapiga mpaka 6 ivi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]


Stimu zimelipiwa?
 
Pole sana wewe na yeye pia nampa pole. Unampenda kweli?? Je una mpango gani naye?? Tuchukue mfano, ingelikuwa wewe ni mkristu, ukafunga ndoa katoliki bila kumuonja. Siku umemuingia ndo ukakuta hiyo harufu "kali" kama unavyosema; Hapa JF ungekuja na lugha gani??
Ushauri; Mpende tu na tena usiichukie hiyo harufu. Hakuitaka yeye wala hajui kama ana harufu kali. Piga tu mashine ukiwa umeinulia kichwa juu. Umeshasema kuwa huzami chumvini ndo bahati yako. Kama hujaoa, oa tu mkuu na wamama jinsi hiyo hutoa matoto manene kweli kweli. Hicho kitakuwa ulinzi wako kuwa hatathubutu kumpa mtu mwingine kuogopa wasimcheke,
Sawa mkuu ushauri nimepokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom