Fafanua mkuuAma kweli Wewe ni zaidi ya Suleiman Bungala.
Sasa maana hata wahenga walishapata kusema ukicheka na nyani utavuna....
Malizia kuvuna mabua yako tu
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Hii story nimeshaisikia Clouds FM kwa hiyo Ndiyo Wewe Ambaye Ulizaa na Huyo Mwanamke ambaye Mtot anatunzwa na majirani .... I heard this story ilikuwa nafikiri mwezi wa kwanza au pili kama sikosei.. Geahabibu anaweza nisaidia kwenye Heka heka..Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi.
Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya kuishi nae baada ya kuwa tabia zake ni za ovyo sana.
Siku moja nilikuta mazungumzo ya kurekodiwa ya kimapenzi kati yake na mwanaume ktk simu yake.Pia niliwahi kumsikia akiongea na hawara yake ktk simu.
Baada ya mambo kuwa hivyo nikaacha kila kitu na kuamua kupanga sehemu nyingine ila bado nahudumia kila kitu kuanzia chakula, nalipa kodi na mahitaji mengine ya mtoto.Ili mtoto asipate shida nimeajiri house girl baada ya yeye kuwa anazurura
Nina miaka 2 sasa sifanyi nae mapenzi na yeye huondoka na kurudi muda anaotaka.
Siku nyingine mfano leo analala huko huko anarudi asubuhi.
Kinachoniuma ni mimi kumlipia kodi kumlisha na bado dharau hizi anazoonyesha.Anasema mtoto atamgawa na kumpa mwanaume mwingine na mimi sipendi mwanangu apate shida.
Yeye hawezi tunza mtoto maana hata familia yao ni Malaya tupu.
Wakuu nishaurini namna ya kumuokoa mtoto na mimi kuishi kwa furaha
miaaka 2 unahudumia kahaba......kapime ujiridhishe mkuuuuu........then anzia ustawi wa jamii kimya kimya....Mkuu
Nosspass mtoto ni wangu ana miaka 2 sasa,ukimuona huulizi
Nipe tu hizo mbinu
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu nadhani zimefanana tuHii story nimeshaisikia Clouds FM kwa hiyo Ndiyo Wewe Ambaye Ulizaa na Huyo Mwanamke ambaye Mtot anatunzwa na majirani .... I heard this story ilikuwa nafikiri mwezi wa kwanza au pili kama sikosei.. Geahabibu anaweza nisaidia kwenye Heka heka..
Kumbe mnapika na kupakua kasoro kulalaa tuu? Kwanza bado unampenda na hujielewi hizo kashfa ulizompa na bado anakupikia unakulaa inakuwa ngumu kuelewa unatakajee. Wanaume huwa na misimamo thabiti hamaa hapoo kataa huduma zote zinazomuhusu huyo mwanamke beki tatu mrudishe kwao. Kama nimatumizi weka bili kama nimaziwa na vitu vyakutumia tena kimpangilio maalumu na pesa unaenda lipia dukani au unaachaa kutokana na bajet ya matumiz ya mtoto pesa ikikata kabla ya mwezi hiyo juu yakee mwenyewe.Mkuu nimepanga sehemu ingine umbali Wa dakika 10 pia huwa nakula hapo ili kupunguza gharama Ila silali hapo
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Kumbe mnapika na kupakua kasoro kulalaa tuu? Kwanza bado unampenda na hujielewi hizo kashfa ulizompa na bado anakupikia unakulaa inakuwa ngumu kuelewa unatakajee. Wanaume huwa na misimamo thabiti hamaa hapoo kataa huduma zote zinazomuhusu huyo mwanamke beki tatu mrudishe kwao. Kama nimatumizi weka bili kama nimaziwa na vitu vyakutumia tena kimpangilio maalumu na pesa unaenda lipia dukani au unaachaa kutokana na bajet ya matumiz ya mtoto pesa ikikata kabla ya mwezi hiyo juu yakee mwenyewe.Mkuu nimepanga sehemu ingine umbali Wa dakika 10 pia huwa nakula hapo ili kupunguza gharama Ila silali hapo
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Hakujua kama hapaingiliki mpka alipoingiaNdio ubaya wa kuingia kichwa kichwa mana uliingia pasipo ingilika. Pole mkuu.
Sijaoa mkuu niliondoka kuepusha ugomvi Na kelele nilihisi naweza pandwa Na shetan nikafanya majanga makubwahii story kama ni Yenyewe ilikuwa kuwa Jamaa alikuwa na Mke kwa hiyo alivyompa Mimba huyo Kimada akaona isiwe shida akakubali kumhudumia kila kitu ila Mwanamke ndiyo Chakaramu Yaani ni mlevi pita kiasi.
Mkuu Sa,ahani kama ni tofauti na wewe ila story inafanana kila kitu tofauti yake wewe hutaki kukiri kuwa kilichokuondoa hapo ni kuwa wewe ulikuwa na mke wako ila huyu alikuwa mchepuko
Advace acceptedKumbe mnapika na kupakua kasoro kulalaa tuu? Kwanza bado unampenda na hujielewi hizo kashfa ulizompa na bado anakupikia unakulaa inakuwa ngumu kuelewa unatakajee. Wanaume huwa na misimamo thabiti hamaa hapoo kataa huduma zote zinazomuhusu huyo mwanamke beki tatu mrudishe kwao. Kama nimatumizi weka bili kama nimaziwa na vitu vyakutumia tena kimpangilio maalumu na pesa unaenda lipia dukani au unaachaa kutokana na bajet ya matumiz ya mtoto pesa ikikata kabla ya mwezi hiyo juu yakee mwenyewe.
Okay pole kwa changamoto hyo, shirikisha wazee wenye busara juu ya jambo hilo naamini watakupa njia nzuri namna ya kumpata mwanao na kuishi nae.100%
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Hahaaa. Na haswa kwa wale baadhi yenu walio na huruma kamwe haliwezi kuwa jambo gumu hata kidogo.Ha ha ha ha ndio ukwel huo mama maana anaweza kushikwa na huruma akaamua kufanya hisani
Kabisa mama moyo wa huruma haujawah kumuacha mwanaume mkware salamaHahaaa. Na haswa kwa wale baadhi yenu walio na huruma kamwe haliwezi kuwa jambo gumu hata kidogo.
Nakusalimu.