Webbcoffee
Member
- Feb 8, 2018
- 14
- 3
Asante saana mkuu ushauri wako nitauweka kwenye mjumuisho wa hii biashara umeniongezea idea mpya.idea nzuri....
achana na mambo sijui ya milk cofee sijui vannila, cappuccino n.k
fanya haya utapiga sana hela
tengeneza kijiwe kizuri, nafasi za mabench nzuri za kukaaa walau watu 15plus at a time ....
weka kahawa na tangawizi.....
kaa mwenyewe au kama huwezi tafuta kijana nadhifu na mchangamfu....
nunua walau magazeti matatu au kwa siku.. sports na siasa...(mara nyingi hizi ndio story zinazotrend vijiweni) hakikisha kila siku unaweka haya magazeti.
weka na kashata nzuri za kutosha.....
vyombo(vikombe vya kutosha) kwa kuanzia nunua 30. sio zile dizain mtu anakunywa huku mwingine anasubiria, inakata stimu.
hakika utapiga pesa, tatizo watu wanadharau sana hizi busness ndogo ndogo..... hapa hutalipia frem, wala umeme, wala kod TRA.... sana sana utalipia ushuru wa eneo kwa siku ambayo ina-range 500-1500. all the best.
mwanzo nili plan kufanya ulivyosema nikawa na wazo la kutengeneza hiki kituIdea yako ni Nzuri sana, ila fahamu kuwa hawa wanywaji wa kawaida wale wa vijiweni Ndio wako addicted na kahawa Kali (black coffee).
Nachoweza kukushauri, nunua baiskeli, wafafute hawa vijana wa kigoma wanaouza kahawa kwny birika, wakabidhi kahawa then wapangie hesabu kwa siku!
Hii itaongeza kipato kwao, maana watabeba kahawa nyingi na kuwauzia wateja wengi zaidi.
Maeneo maarufu ya kuuza kahawa ni Magomeni, kariakoo. Ilala, mbagala, msasani, Soko la feri Posta, na maeneo mengine yenye vijiwe vingi vya wazee!
asante chifu.wanywaji wengi watu wakati kati na chini uko obay hautaweza uza hiyo kahawa.na waswahili wanapenda hali hiyo ilivyo wanavyokunywaga ,kama supu ya pweza inavyonyweka kwenye mazingira yankichafu chafu,fuata ushauri wa kitalebwa apo juu
Dahh nikilifanyia kazi hili wazo ni sawa mkuu?? Umenipa akil ya maana sanaidea nzuri....
achana na mambo sijui ya milk cofee sijui vannila, cappuccino n.k
fanya haya utapiga sana hela
tengeneza kijiwe kizuri, nafasi za mabench nzuri za kukaaa walau watu 15plus at a time ....
weka kahawa na tangawizi.....
kaa mwenyewe au kama huwezi tafuta kijana nadhifu na mchangamfu....
nunua walau magazeti matatu au kwa siku.. sports na siasa...(mara nyingi hizi ndio story zinazotrend vijiweni) hakikisha kila siku unaweka haya magazeti.
weka na kashata nzuri za kutosha.....
vyombo(vikombe vya kutosha) kwa kuanzia nunua 30. sio zile dizain mtu anakunywa huku mwingine anasubiria, inakata stimu.
hakika utapiga pesa, tatizo watu wanadharau sana hizi busness ndogo ndogo..... hapa hutalipia frem, wala umeme, wala kod TRA.... sana sana utalipia ushuru wa eneo kwa siku ambayo ina-range 500-1500. all the best.
It's good idea.mwanzo nili plan kufanya ulivyosema nikawa na wazo la kutengeneza hiki kitu
Ila nikipiga hesabu ya return naona nitasubiri zaidi ya miaka kuweza kurudisha angalau investing cost kwa ile price ya 100 per cup or 200.
Unaonaje hili?
Ndiyo nikaja kwenye wazo la pili.
Uliifanyaje chifu! Ilikuaje ukaacha. Changamoto ni zipi?Dahh nikilifanyia kazi hili wazo ni sawa mkuu?? Umenipa akil ya maana sana
Asante saana.It's good idea.
But Ww nenda kisasa zaidi, mfano package yako iwe Nzuri kuliko Ile wanayofanya vijana wa kigoma, meaning weka kwny vikombe vizuri zaidi na visaafi.
Pia ongeza kidogo size ya vikombe, mfano km vya wale vijana ni 70mls, Ww weka iwe 110mls then uza kwa 200 still watu watanunua wengi.
Pia lenga kupatia faida zaidi kwny bites, Andaa bites Nzuri zitakazowavutia wateja.
Nice piece of advice...idea nzuri....
achana na mambo sijui ya milk cofee sijui vannila, cappuccino n.k
fanya haya utapiga sana hela
tengeneza kijiwe kizuri, nafasi za mabench nzuri za kukaaa walau watu 15plus at a time ....
weka kahawa na tangawizi.....
kaa mwenyewe au kama huwezi tafuta kijana nadhifu na mchangamfu....
nunua walau magazeti matatu au kwa siku.. sports na siasa...(mara nyingi hizi ndio story zinazotrend vijiweni) hakikisha kila siku unaweka haya magazeti.
weka na kashata nzuri za kutosha.....
vyombo(vikombe vya kutosha) kwa kuanzia nunua 30. sio zile dizain mtu anakunywa huku mwingine anasubiria, inakata stimu.
hakika utapiga pesa, tatizo watu wanadharau sana hizi busness ndogo ndogo..... hapa hutalipia frem, wala umeme, wala kod TRA.... sana sana utalipia ushuru wa eneo kwa siku ambayo ina-range 500-1500. all the best.
kalifanyie kazi mkuu.... watu hawachukulii siriazi hizi biashara ndogo ndogo,,, zinalipa sana na hazina changamoto kubwaDahh nikilifanyia kazi hili wazo ni sawa mkuu?? Umenipa akil ya maana sana
Karibu mkuu ushauri wako ni mzuri usiponisaidia mimi utamsaidia mwingine.ngoja nipite maana kuna jini kujua apaa
Naaam, Merinyo mkuu Pembeni mwa MKikahawa.
hah hah hah......!
Hapo unaongeza na TV kwa ajili ya kupata habari.idea nzuri....
achana na mambo sijui ya milk cofee sijui vannila, cappuccino n.k
fanya haya utapiga sana hela
tengeneza kijiwe kizuri, nafasi za mabench nzuri za kukaaa walau watu 15plus at a time ....
weka kahawa na tangawizi.....
kaa mwenyewe au kama huwezi tafuta kijana nadhifu na mchangamfu....
nunua walau magazeti matatu au kwa siku.. sports na siasa...(mara nyingi hizi ndio story zinazotrend vijiweni) hakikisha kila siku unaweka haya magazeti.
weka na kashata nzuri za kutosha.....
vyombo(vikombe vya kutosha) kwa kuanzia nunua 30. sio zile dizain mtu anakunywa huku mwingine anasubiria, inakata stimu.
hakika utapiga pesa, tatizo watu wanadharau sana hizi busness ndogo ndogo..... hapa hutalipia frem, wala umeme, wala kod TRA.... sana sana utalipia ushuru wa eneo kwa siku ambayo ina-range 500-1500. all the best.
hapa kweli watavutika wengi.Hapo unaongeza na TV kwa ajili ya kupata habari.