Ushauri wenu unahitajika

Ushauri wenu unahitajika

mwambia ukwel ila kama hajakupenda ataishia kukuchezea na kukuacha tu nakwambia
 
Ukimpenda mtu bwana
ukimtaka mtu mwambie ukweli sio kumpakazia
ni usawa wa ukweli na uwaaazi


hili jimbo waliimba mandojo domokaya na komando jide kipindi hicho
 
Pepo baya sana ulilo nalo. Una pepo la penda asiye kupenda
 
niambie, Kila siku tunasalimiana huniambii....
 
Ukimuona tu vua chupi halafu mrushie....kuchikuchi style
 
Mimi ni msichana kuna mwanaume mmoja nimetokea kumpenda sana kutoka moyoni, ila sijui nianzie wapi kumwambia dukuduku lilipo moyoni mwangu, na tayari nimesha muonesha dalili zote kuwa nampenda.

Ila hana muda na mimi, ndugu zangu naumia sana kila napo ninapomwona.

Nitumie njia gani ili niweze kuwa nae?

Karibuni

Niambie tu nitakuelewa
 
Halafu jina lako ni tatizo huna uhakika kama unampenda
 
Labda ufunguke zaidi unamtakia nini huyo jamaa?

je unataka kufanya naye uzinzi au unataka akuoe?

majibu kwanza then nitakupatia ushauri na mbinu za kumnasa.
 
mh!unaonesha kwa mapozi gan?nahakika kama utamfungukia kwavitendo utamnasatu.
 
mazali kama haya mbona hayanikuti?huwa napenda totoz zinazojilengesha kwenye 18 huwa sina mzaha maana huwa ni rahis sana kuvitafuna..
 
Mimi ni
msichana kuna mwanaume mmoja nimetokea kumpenda sana kutoka moyoni, ila
sijui nianzie wapi kumwambia dukuduku lilipo moyoni mwangu, na tayari
nimesha muonesha dalili zote kuwa nampenda.

Ila hana muda na mimi, ndugu zangu naumia sana kila napo ninapomwona.

Nitumie njia gani ili niweze kuwa nae?

Karibuni

nisikilize kwa makini! bado maumivu maana utaumia sana.dada raha ya mwanamke kupendwa na aakijua unampenda sana utajuta kumfaham.ishia hapohapo maana utateseka sana wew naona hujui wanaume
 
Do it at your own risk...!
..tafuta namba yake, uwe unamtumia sms mara moja moja.
..muulize hobby zake nini afu propose kufanya moja ya hizo hobby pamoja. Mara moja au mbili inatosha. Ukiona kimya ujue hataki kukuumiza, mtu kama huyo ni mstaarabu, tafuta mwingine!!
 
muulize tu kama anapenda
chapatti...halafu pika chapati mpelekee......asipoelewa hiyo jua
hakutaki...

the boss bana wew mwenyewe ni mwanaume na unajua mwanaume akikupenda wala hasubir umwambie so uoni bidada hajapendwa? (mwanaume hata umkaangie kuku kwenye madin ya tanzanite if its not u then its not u)
 
Back
Top Bottom