Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
muulize tu kama anapenda chapatti...halafu pika chapati mpelekee......asipoelewa hiyo jua hakutaki...
unaniongelea mimi nini mkuu??!!!!
muulize tu kama anapenda chapatti...halafu pika chapati mpelekee......asipoelewa hiyo jua hakutaki...
unaniongelea mimi nini mkuu??!!!!
Mimi ni msichana kuna mwanaume mmoja nimetokea kumpenda sana kutoka moyoni, ila sijui nianzie wapi kumwambia dukuduku lilipo moyoni mwangu, na tayari nimesha muonesha dalili zote kuwa nampenda.
Ila hana muda na mimi, ndugu zangu naumia sana kila napo ninapomwona.
Nitumie njia gani ili niweze kuwa nae?
Karibuni
Ni dalili gani ulizomuonesha mpaka hajakuelewa ili tukubadilishie mbinu