Noted with thanks....Ihela.Kadhalika, huwa nakuwa selective katika mahusiano kwa sababu huwa sipendi mwanamke mcharuko kupita kiasi ila awe muungwana na ambaye anajua kuongea kwa ustaarabu. Ingawa huwa napata ugumu sana wakati wa kumtafuta mchumba but nikipata namba yake tu huwa hachomoi. Sijui ni kwa nini kwenye kuchati au kuongea kupitia simu niko vizuri kiasi hiki.
[emoji115]Kweli uko vizuri hata kiuandishi, na kiukweki asilimia kubwa ya wanawake tunavutiwa na wanaume wa pole
Una pesa nyingi Mkuu. Wewe ni kibosile.
Acha kuhonga Mkuu. Kuhonga ni weakness kubwa sana.
sio wale wakorofi,wachangamfu a.k.a bad boys??Kadhalika, huwa nakuwa selective katika mahusiano kwa sababu huwa sipendi mwanamke mcharuko kupita kiasi ila awe muungwana na ambaye anajua kuongea kwa ustaarabu. Ingawa huwa napata ugumu sana wakati wa kumtafuta mchumba but nikipata namba yake tu huwa hachomoi. Sijui ni kwa nini kwenye kuchati au kuongea kupitia simu niko vizuri kiasi hiki.
[emoji115]Kweli uko vizuri hata kiuandishi, na kiukweki asilimia kubwa ya wanawake tunavutiwa na wanaume wa pole