Ushauri wenu unahitajika katika hili

Ushauri wenu unahitajika katika hili

Napiga ila nawaza kanionaje hadi aniambie utumbo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana usipende kuishi kwa hisia.
Mwanamke ulilala naye, halafu unakuja kukurupuka kukimbia kivuli chako!
Ungeliomba ushauri wa kuhakiki kama huo mzigo ni wako, siyo kukanusha moja kwa moja kwamba unasingiziwa na mimba haujamjaza wewe.
Ninyi ndiyo mnaosababisha watoto wa mitaani, wakati uwezo wa kulea mnao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana usipende kuishi kwa hisia.
Mwanamke ulilala naye, halafu unakuja kukurupuka kukimbia kivuli chako!
Ungeliomba ushauri wa kuhakiki kama huo mzigo ni wako, siyo kukanusha moja kwa moja kwamba unasingiziwa na mimba haujamjaza wewe.
Ninyi ndiyo mnaosababisha watoto wa mitaani, wakati uwezo wa kulea mnao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakataa watoto afu ukishazeeka unaanza kutafuta huruma zao, amekuja amepanik utafikiri kuwa na mtoto ni laana,
 
Acha ujinga subiri mtoto azaliwe utajua mbivu na mbichi. Ila kama hukucheza salama tegemea lolote... Hakuna mimba ya baba wawili pyopy,

Jr[emoji769]
 
kichwa kina kumbukumbu ya kila kitu, huwa ni muda tu unahitajika na utulivu kurudisha kumbukumbu...kaa tulia vizuri kabisa kumbuka siku ile na matukio yote kuanzia asubuhi hadi dkk ya mwisho mmemaliza..kuna kitu kitakukumbusha tu tarehe hiyo..anzia hapo kujiridhisha. Siku nyingine kumbuka kutunza kumbukumbu kwa watu usiowaamini..Jitumie hata msg kwenye email yako ikionesha jina, tarehe na mahali in encryption mode. Usimchukie sababu inaweza kuwa kweli au uongo hivo na wewe kuwa nae neutral hivo hivo hadi ujue ukweli.
 
Shida yako ni nini? Wewe endelea kama kawaida. Mwache aendelee kuzurula. Mtoto akitoka atajulikana tu. Wewe mpige marufuku asije ofisini kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Imebd nimshirikishe bosi wangu Jambo hili ameniahidi akija ofisini atapambana nae ....sasa cjui atafanya hivyo kweli au nae ataishia kuomba unyevu...maana nae mtata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwl miezi 5 asijue ana mimba ....halafu ni mtu anaejielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa serious alafu mwambie "nimekuvumilia nimekuchora sana na nia yako ovu juu yangu, Mimi uwezo wa kurutubisha mayai (kuzalisha) sina, sasa hiyo. Mimba nimekupaje?? Unadhani sipendi watoto?? Napenda sana ila niliisha hangaika hadi kwenye miti shamba mwisho nikaambiwa uwezo wa kuzalisha sina, Usinitafute ubaya na kunikumbusha machungu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kufikia hatua ya kukwambia huo upuuzi ujue kakuchunguza vzr kaona wew ni zoba aliye tukuka.
 
Back
Top Bottom