Ushauri wenu unahitajika katika hili

Ushauri wenu unahitajika katika hili

Mkuu hivi wanawake unawajua? Mwanamke anaweza akakaa na wewe miaka 20 ukimkorofisha tu anakuambia huyu mtoto Jesca siyo wako ameona hakuna sehemu nyingine ya kuponea shida zake hata kama bodaboda wamemdunga anaona wewe una smartphone, mjasiriamali, labda una kadi za benki.
Inawezekana mkuu..yaan nakosa raha mbaya zaidi anasema atakuja Hadi ofisini kumweleza bosi wangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipokosea ni kuanza kumdadisi kwamba kwann hakukwambia siku zote hizo, hapa ndipo ulikaribisha tatizo


Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali,,lakini alinambia tu ana mazungumzo na mm basi nilipotoka job nikamtafuta ndo akanieleza hayo...ckutaka kumkarahisha pale so nikawa namchukua maelezo taratibu kumbe ndo najiroga akaona ameshaniokota Kama chupa ya chai.najuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo usikute alikuwa ana mtu mwingine akaona haeleweki ndo akakutafuta wewe, wanawake sisi tuna akili sana
 
Akipiga usipokee
Akitext usijibu....usimblock mwache akutafute atachoka


Tena bahati nzuri mwenye tumbo ni yeye so obviously mimba ni yake
Ni kweli.hofu inanijia maana anasema atakuja ofcn ikishindikana atakwenda mbele. Huko mbele ndo nahahatika cjui ni wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie tu hiyo mimba sio yangu,wala usijisumbue. Na ni kweli sio yako. Kwa mtindo huo kwa nini ghafla tu awe busy na wewe,baada ya kimya cha miezi mi5. Anakupima na wewe ukiregea imekula kwako. Komaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi wanawake unawajua? Mwanamke anaweza akakaa na wewe miaka 20 ukimkorofisha tu anakuambia huyu mtoto Jesca siyo wako ameona hakuna sehemu nyingine ya kuponea shida zake hata kama bodaboda wamemdunga anaona wewe una smartphone, mjasiriamali, labda una kadi za benki.
Nimecheka sana hii komment[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha miaka ya 2010 nlikuwaga na demu wangu ambaye tulidumu miaka kama minne sasa kama ujuavyo mdada akikuelewa mtaa mzima watajua na alikuwaga mtoto wa kigogo hivyo pesa za kwao nilikula sana.
Sasa ikawa rafiki zake wanajilengesha nikapiga kama watatu kwa nyakati tofauti na kuna rafiki yake mmoja amekuja naye sehemu siku hiyo jioni tukamwagizia vinywaji kisha mimi na demu wangu tukalipia room tukaingia nikala mzigo baadae ikabidi waondoke na huyo rafiki yake wakaniacha room nimejilaza maana nlikuwa nimelewa kiasi
Walipoondoka tu kama nusu saa rafiki yake akarudi akajifanya eti alidondosha vocha hapo alipokuwa amekaa na akasema demu wangu ameshapanda tax kuwahi nyumbani mana muda umeenda
Tukakaa kidogo akaanza story za kunisifia nikajua anachokitaka nikapiga mashine kwenye chumba hicho hicho mpaka asubuhi.
Cha ajabu huyo demu kaja kunitafuta miaka saba baadae eti anadai ana mtoto wangu!
Eti mimba iliingia siku ile ile halafu mtu asinitafute mpaka miaka saba mtoto mkubwa nikajua tu alitaka kuniingiza chaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah kwahiyo ulikula tunda bila ndomu? tena mtu ambaye hujui hata background yake na ukamalizia ndani, hivi huo ujasiri mnautoaga wapi aisee, anyways wewe kaza kwamba sio yako mradi asiwe anajua unapoishi atakuletea vagi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utumbo?? Unafikiri mimba inaingia kwa miaka mingapi labda??
Ni kwa mara moja ....ila kwa akili za kawaida tu huoni nduguyo nauziwa mbuzi kwenye gunia....Tena ameanza kuniambie eti anataka kujua jina la baba na ukoo kwaajili ya cliniki mm nikamjibu shortly kua "Kaa mbali na maisha yangu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa mara moja ....ila kwa akili za kawaida tu huoni nduguyo nauziwa mbuzi kwenye gunia....Tena ameanza kuniambie eti anataka kujua jina la baba na ukoo kwaajili ya cliniki mm nikamjibu shortly kua "Kaa mbali na maisha yangu"

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwa nini huwa mnaogopa sana watoto😂😂😂😂Yaani utafikiri umeambiwa unachinjwa??
 
Usikimbie nenda dawati la jinsia na ukubali kulea mimba kwa sharti kwamba mtoto atakapo zaliwa vipimo vya DNA vifanyike, na endapo ikidhihirika sio wako awe tayari kurudisha garama zako na fidia za muda na madhara aliyosababisha, kama anakusingizia naamini hatakubali makubaliano ya aina hiyo na ukiona ameyakubali basi jiandae kuitwa baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom