Ushauri wenu tafadhali wana MMU

Ushauri wenu tafadhali wana MMU

pm ziambatane na ela ya bundle tafadhali.. vigezo na masharti kuzingatiwa

ile hela uliyosema utajilipia mahari ndio ununulie bundle mahari nitalipa mwenyewe
 
Fata moyo wako unavyokwambia!!Naelewa unataka kumridhisha mama lakini at the end of the day wewe ndio utakaeishi na huyo mwanamke na si mamaako.Na haimaanishi kwasababu ndoa za wengine hazikufanikiwa basi na yako haitofanikiwa...Tuache ukabila ndoa inadumu kutokana na mahusiano ya watu binafsi upendo unaotawala,uvumilimu,heshima,uaminifu na hekima!
 
Mmmh wanawake wa kichaga bana ata yule wifi yetu alikuwa mkarimu mpole msitaarabu wengi walimkubali baada ya kuitwa mke na ndoa kufungwa c ndo makucha yake kuonekana!!!!!!
 
Yaani nyie wote mmenyweshwa chai bila sukari...

Labda kwa vile ina tangawizi ndio maana mmeingia kingi



Maneno huumba ndo zote zina ups and down sasa kama ndoa yako kabla tu haijaanza wewe na mama yako mmeanza kum judge huyo dada kabila lake bora usimuoe sababu lolote litakalo jitokeza mama yako atakwambia 'tulikuonya' na wewe uta feel 'my fault sikusikiliza'.

Lazima ilivutiwa na weupe wake. Maana watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma wakikutana na wanawake weupe wanakuwa kama zezeta.

Your mum is right 1000%, hilo kabila ukipata shida ya ajira au pesa ndo mwisho wa ndoa yako.nina experience nao hao watu, wenyewe kwa wenyewe wanawezana lakini sio ww wa huko kanda ya ziwa utatemwa mchana kweupe siku ukiwa apechelolo,...fuata ya mama please!!

Kampeleke akikataliwa tafuta mwingine maana waafrika tunaoa kwaajili ya familia zetu!

Upofu wa mapenzi usitufanye tusizione busara za wazazi wetu,mahaba huja na kuondoka kama misimu ya hali ya hewa lakini mapenzi ya kweli ya wazazi wetu hubaki milele vifuani mwao kwani siku zote tunaishi ndani yao na furaha yao ni kuona maisha yetu yanastawi.Hata siku moja usiruhusu watu wa kupita maishani mwako wakutenganishe na wazazi wako wapendwa hapa duniani.

Akili za kuambiwa pia kumbuka, aonywae mara nyingi akishupaza shingo huvunjika! Kaa chini fikiri na uchukue hatua.

Mama yako kukupa mifano 15, humu jf kuna nyuzi kibao za kuhusu hao watu, sasa nini zaidi unataka mkuu?

Maskini kumbe amejadiliwa huko hadi aibu mwe mwe mweeeeeee ukwama hebu mtoe ktk aibu hii let her go
 
Last edited by a moderator:
Yaani nyie wote mmenyweshwa chai bila sukari...

Labda kwa vile ina tangawizi ndio maana mmeingia kingi

mi nimeandika nikijua ni ya kutunga, nimeona alivyofukunyua Tyta, ila mbona mengi tu humu ni ya kutunga maidia, tunatoa ushauri tukiamini kuna watakaonufaika hata kama story ni ya kufikirika
 
Last edited by a moderator:
jiulize,,, huyo mke unamuolea nani? wazazi ni lazima tuwape heshima zao,,, mke ni wa kwako,,, msimamo wako ndo utakuvusha,,..changanya akili....
 
wachaga wanasifika sana kwa ndoano.. lisemwalo lipo. tafakari
 
Mimi nimchaga ,Mume Wangu aliachishwa kaz mwezi mmoja baada ya ndoa, na Mume Wangu si mchaga, tulioshi ndani ya miaka mitatu bila kazi huwezi amin muda wote nilikuwa nafanya biashara ndogondogo ndio tunakula, tulifukuzwa kwenye nyumba tukalala nje wiki mbili sikuwa na pakuomba msaada coz wazazi Wangu hawakumpanda mwanaume, now tuna miaka 11 kwenye ndoa na tuna nyumba, gar .mimi mbona sikumuacha Mume wangu
 
Mimi nimchaga ,Mume Wangu aliachishwa kaz mwezi mmoja baada ya ndoa, na Mume Wangu si mchaga, tulioshi ndani ya miaka mitatu bila kazi huwezi amin muda wote nilikuwa nafanya biashara ndogondogo ndio tunakula, tulifukuzwa kwenye nyumba tukalala nje wiki mbili sikuwa na pakuomba msaada coz wazazi Wangu hawakumpanda mwanaume, now tuna miaka 11 kwenye ndoa na tuna nyumba, gar .mimi mbona sikumuacha Mume wangu[/QUO
Calm down dear ,Wewe ni mmoja in a million , hapa tunaongelea majority, maana wachagga wenyewe kwa wenyewe wanaogopana si kuna thread humu wanawanyanyapaa wanawake wa kimachame??basi wao kwa wao huoana kihivyo. Mrombo kwa mrombo,mmarangu kwa mmarangu, mmamchame kwa mmamchame n.k sasa wewe wa kanda ya ziwa ndio kyasakaa haswa utakuja tupwa kulee ubaki unalia mdomo wazi...watch this space.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom