baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,778
- 2,052
Habarini humu wakuu
Nambeni ushauli kwa mazingira ninayopitia mdogo wenu wakuu
Mimi nikijana mdogo kabisa miaka 22 tangu nilipomaliza sec. nilianza kujitafutia maisha mwenyew namshukuru mungu alinibariki sana nikawa nipo vizur kwenye maisha kiuchumi, kufika mpaka miaka nikawa namiliki pikipik nyingi tu nikafanikiwa kununua kiwanja, mwaka jana nikannua nagari usafiri wangu.
Hapo niliponunua gari ndipo maisha yakaanza kuchange mimi nikawa mtu wa kulewa muda wote sio usiku sio mchana wala asubuhi, nikienda bar kama nina laki namaliza yote, uchimi wangu kwasasa unaenda kupotea kila ck lazima ninywe kila ck napoteza zaidi ya laki nanusu bar, ni mwaka sasa umepita kwa mwezi napoteza zaidi mil. 2 nazaidi kwenye pombe
Naombeni ushauli ndugu zangu, usiku nikilala bila kunywa silali hayo mateso ninayopata, mandoto ya ajabu kukabwa usiku pia nikinywa usiku nikishtuka pombe zimeisha huwa najilaumu sana kwann nafanya mambo hayo Hadi nahisi kujiuwa, lakini nikiamka tuh asubuhi kila kitu nimesahau naamkia kwenye mipombe.
Naombeni mawazo yenu wakubwa zangu, nimeyachoka haya maisha
Nambeni ushauli kwa mazingira ninayopitia mdogo wenu wakuu
Mimi nikijana mdogo kabisa miaka 22 tangu nilipomaliza sec. nilianza kujitafutia maisha mwenyew namshukuru mungu alinibariki sana nikawa nipo vizur kwenye maisha kiuchumi, kufika mpaka miaka nikawa namiliki pikipik nyingi tu nikafanikiwa kununua kiwanja, mwaka jana nikannua nagari usafiri wangu.Hapo niliponunua gari ndipo maisha yakaanza kuchange mimi nikawa mtu wa kulewa muda wote sio usiku sio mchana wala asubuhi, nikienda bar kama nina laki namaliza yote, uchimi wangu kwasasa unaenda kupotea kila ck lazima ninywe kila ck napoteza zaidi ya laki nanusu bar, ni mwaka sasa umepita kwa mwezi napoteza zaidi mil. 2 nazaidi kwenye pombe