Ushauri Wenu Please

Ushauri Wenu Please

There is this friend of mine, amedate na guy wake for 2 good years. The guy alishamwambia the lady kuwa kuna gal aliwahi kuzaa nae but relation ishaisha long coz hawakuwa na future its jus one nyt stand and goal.

The lady agreed kuwa na guy atatoa matumizi ya mtoto and the like but no relation with the mother. Life goes on surprisingly the gal (mwenye kid) kamfata the guy kumwambia anataka wakae pamoja walee mtoto.

The guy akashindwa kumfukuza (kwa madai yake kuwa anamwonea huruma na anaeza mdhuru mtoto) kamwambia the lady wanakaa kwa muda walee mtoto and nothing kinachoendelea like love.

Sasa the lady anaomba ushauri, Je amtrust the guy kuwa hawana relation yoyote inayoendelea ni wanalea tu mtoto then gal asepe, au ndo mwanaume anamdanganya?

Kumbuka kuwa mwanaume anamhakikishia the lady kuwa anampenda sana na wala asiwe na hofu kuhusu huyo mzazi mwenzie coz hakuna mapenzi tena.

Advice the lady...:A S confused::A S confused::A S confused:

asikubali hicho kitu, may be kama anapenda kuwa mke mwenza.
 
mwalimu wa english ulipita huku?? samehe bure tuu!! spelingi ilikosewa na maana yake najua ticha!!

kwa tabia zake anaweza kweli akawa gay

Haya bana .........!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ulishaona wapi swala na simba wakaka pamoja then wakala simba akala majani swala akiwa pembeni.kuna msemo unasema, when the desire is not available,then the available becomes the desire. Mwambie achape lapa hakuna mapenzi hapo ni kutumiwa mpaka atakapokuja kushtuka ni too late. Asepe mapema
 
Ulishaona wapi swala na simba wakaka pamoja then wakala simba akala majani swala akiwa pembeni.kuna msemo unasema, when the desire is not available,then the available becomes the desire. Mwambie achape lapa hakuna mapenzi hapo ni kutumiwa mpaka atakapokuja kushtuka ni too late. Asepe mapema

Huyu jamaaaaa kamaliza kila kitu
 
Mwambie huyo binti aache ukiaZi, kuna la kuomba ushauri hapo? Kusoma hajui hata picha haoni?
 
Mwambie the lady amwambie the guy kwamba the child ndo abaki hapo ila the mother aondoke........

The guy! the lady! The aarrrghhh......... kuna ulazima gani wa kuandika hivyo?
 
Back
Top Bottom