Ushauri Wenu Please

Ushauri Wenu Please

Yaaanni tangu nimezaliwa sijawahi kuona mwanaume mjinga kama huyo na pia huyo msichana (ambaye hana mtoto) kama bado anauhusiana na hilo dume lazima atakuwa amelogwa mana kwa akili ya kawaida wala asingehitaji ushauri ilikua ni kiasi tu cha kuachia ngazi.

Sijaelewa hayo malezi ya mtoto ya hadi waishi nyumba moja....... hii nayo ni nyingine ya mwaka.
 
..the gal anampenda the guy lakini the gal mwenye kid ataka the guy waishi wote ili walee the kid pamoja, ila the gal ampenda sana the guy mwenye the kid.....aisee!!
 
The guy ana akili sana anachuna kwa the gal then anakula na the lady na kid wao, safi sana!!

Mwambie friend wako 'the gal' awaamini sana the guy na the lady
 
Sijaelewa, Yani mama mtoto kaja kulelea mtoto kwa baba yake kwa sababu huko alikokuwa alimiss nini kwa mfano?
Kwa sababu kama matunzo na kumtembelea alifanya, what is the point of living together sasa?

Hay kuna hatari ya kurekindle the love that was between them, hawaogopi italeta shida? Lust je? wanaishi kwenye same haouse na jamaa wants cookies aje ahangaike na cookies za huyo rafiki yako ambapo kuletwa hadi utoe hela ya tax wakati home kuna free cookies? Tena zilizotengenezwa makusudi kuvutia njaa? Kuna kupona mwanaume hapo kweli?????

Rafki yako achague moja,
(a) Kwenda kubanana na mwanamke mwenzie, wapambane kuanzia maneno ya kanga mpaka ya mitaani kupitia saloon, wakichoka wapigane (Then I'll ask her, Is the man worth the fight?)
(b) Call it a day, He was just a bad choice in life-it happens
 
Hayo yanaitwa mahaba niteketeze, yakikupata husikii wala huoni yaani nyekundu unaona kijani. Ila siku the gal akipata akili atamwacha jamaa bila kuomba ushauri.
 
yaani unadanganywa huku unaona kwa macho mawili! hiyo changa la macho mtoto wa miaka miwili mbona mkubwa tu na wangetakiwa wamlee pamoja tangu akiwa mchanga
kilichopo ni hivi mwanaume angetoa mahitaji yote ya mtoto nyie muendelee na mapenzi yenu .
 
Pambaffff zake huyo mwanaume....
mwambie na huyo friend ako aache uboya.

Akufukuzae hakwambii toka, na watu wanasema walio zaa hawaachani, lazima watakumbushia enzi zao.

Awaache walee mtoto, aangalie mishe mingine.
 
Its very easy kudanganya wanawake imetumika knowledge ndogo tuu hapo tell ur frend atafute mtu mwingine
 
Eiyer ile ilikuwa tu typing error, but thank God ujumbe umeeleweka, to err is human. laussane umri si tatizo coz am matured enough na umri wa kutosha, the problem nishamshauri my friend nimechoka that why nikaomba ushauri kwenu na nyie ili labda akiona ushauri wa watu tofauti tofauti atafunguka akili coz mawazo ya wengi si sawa na ya mtu mmoja..
 
Kinachofuatia ni majanga tu kwa the gal maana the next thing the lady atataka itakuwa ndoa ili kid wao awe na a happy family. Na jamaa ataona sawa maana ni for the kid halafu the gal atakula za mbavu.
 
oya mbona the the nyingi umeshndwa kuandika kiswahili daaa the the the had kero
 
oya mbona the the nyingi umeshndwa kuandika kiswahili daaa the the the had kero
You know the english is the hard language you know?
so when the words come out it coz the difficult you know?
 
There is this friend of mine, amedate na guy wake for 2 good years. The guy alishamwambia the lady kuwa kuna gal aliwahi kuzaa nae but relation ishaisha long coz hawakuwa na future its jus one nyt stand and goal.

The lady agreed kuwa na guy atatoa matumizi ya mtoto and the like but no relation with the mother. Life goes on surprisingly the gal (mwenye kid) kamfata the guy kumwambia anataka wakae pamoja walee mtoto.

The guy akashindwa kumfukuza (kwa madai yake kuwa anamwonea huruma na anaeza mdhuru mtoto) kamwambia the lady wanakaa kwa muda walee mtoto and nothing kinachoendelea like love.

Sasa the lady anaomba ushauri, Je amtrust the guy kuwa hawana relation yoyote inayoendelea ni wanalea tu mtoto then gal asepe, au ndo mwanaume anamdanganya?

Kumbuka kuwa mwanaume anamhakikishia the lady kuwa anampenda sana na wala asiwe na hofu kuhusu huyo mzazi mwenzie coz hakuna mapenzi tena.

Advice the lady...:A S confused::A S confused::A S confused:

Wasichana bwana mna mambo mengi sana,ndiyo maana namuombea mwanangu kila iitwapo leo ajitambue, ajithamini,ajiamini na zaidi ya yote awe na hofu ya Mungu.Atakapokuwa na hayo hatababaishwa na kiumbe yeyote yule chini ya jua.Na wewe mwenyewe pamoja na huyo lady wako anaeomba ushauri mmeyakosa hayo niliyoyasema nayarudia tena, kujitambua,kujidhamini,kujiamini na zaidi kuwa na hofu ya Mungu angalieni mmeteleza wapi
 
Back
Top Bottom