Ushauri wenu: Nilimuahidi, nifanyaje?

Kati ya vitu ambavyo tutaenda kuulizwa na Allah Subhannah ni ahadi zetu!Muumin wa kweli anaweza kuzini,muumin wa kweli anaweza kusengenya,na mapugufu yote yaliyo na mtu ambaye sio muumin,ila muumin wa kweli hawez kua mnafik,mnafika ni nani?ana alama 3.Ya kwanza akizungumza huzungumz uwongo(wakenya Urongo).Ya pili akiweka ahadi hatimizi(ni uwongo ule ule).Ya tatu,akiaminiwa hufanya hiana!(uwongo ule ule)sasa ndugu yangu niambie ww sio mnafiki?Umetimiza ahad?ndio umezini hayo ni mapungufu,lakini muumin wa kweli hawi mnafik!
 
sasa unahis M2 ni nyingi mpaka ashindwe kuweka au umebadili mawazo kumpa,wewe mpe cash usitume tigo pesa wala kokote kutakako onyesha mahusiano na mwambie asikufate tena...
 
ukiona mpaka umekuja uku ujue huna hela ya kumfungulia saloon yani ungekuwa nazo ungetoa hela tu kazi kwishaaaaa
 
Promise does not mean delivery. . .. Hiyo saloon si bora umfungulie hata dadaako.
 
Tena mwambie kabisa mke wa mtu ni sumuuuuu
 
Nkuulze swal moja tu... Alkuomba au ulsema mwenyewe na baada ya kusema hvo kama kwel ulkua na nia ya dhat ungemfungulia afu ukamwambia muishie hapo.... Na kama ulsema hvo meaning ulkua na nia ya dhat
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…