jogijo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 262
- 509
wapendwa mlio na uzoefu wa kazi ya ualimu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2016, lakini toka mwaka huo nimekua nikifanya mambo yangu (teaching private schools) toka mwaka huo hadi sasa ambapo nimejipatia kwa sehem ndogo mafanikio kidogo.
tatizo langu ni kuwa serikali imenipanga government schools, (niseme tu niliomba kutokana na mashinikizo ya wife, na nilijua sitochukuliwa na serikali kulingana na waombaji wengi) sasa hapa niko dilemma, niache private ambako nalipwa poa almost mara mbili ya mshahara wa serikalai? au nielende serikalini. japo nina malengo ya kuja kuacha baadae au kubadili career yangu.
kwa wale wazoefu please naombeni msaada kidogo hapo.
nashukuru.