Price12
Member
- Mar 11, 2014
- 46
- 9
- Thread starter
- #21
Sikuwa nataka kujua habari za cheo chake, anyway hata kwa jibu hili si mbaya maana nimehisi ni mtu wa kubweteka mwili mahali pamoja...
Jaribu kumshauri awe anafanya mazoezi yoyote ya viungo kama ukiweza iwe kuruka kamba au kukimbia...
Mwanamke mtundu na mchokozi huwa hana haja ya support ya partner wake.
Wanaume hutamani haraka sana lakini tamaa haiji hivi hivi pasipo kuchochewa ndio maana wapo vigoli wanaotutoa udenda kwa manjonjo yao tu na wapo ambao tukiwaona tu hogo lalala doro
Jenga saikolojia ya mpenzi wako kwa kufanya mambo yatayomtamanisha kingono...yaani jifunzekum-turn on.
Sio hadi chumbani mwanamke unajitanda vitenge vya Wax kama umealikwa kipindi cha Wanawake Live...
Ningefurahi sana kama majibu yako yangelikuwa yapo clear zaidi mathalani mwanzoni nilikuwa na kilo 45 na sasa 60.
Natamani ungeona hali halisi.nakushukuru hata hivo kwa mawazo mema