Ushauri wenu ndugu zangu pombe inanitesa

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Wadau habari za muda huu,

Nianze kwa kusema mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nafanya kazi katika kampuni fulani mshahara laki 3, bado naishi kwa wazazi napanga kutoka lakini nashindwa.

Kikubwa ni unywaji wa pombe, yaani kila nikipokea kamshahara akili inanituma kunywa tuu na nikinywa napoteza mali zangu, Pesa, simu, viatu n.k.

Ushauri tafadhali hali ni mbaya. Nini nikifanye kuepukana na hali hii, maana binafsi siipendi ila najikuta tayari nipo huko na majuto ni baada ya pombe kuisha kichwani?

NB: Nimeandika kwa stress mno maana hapa nilipo nimeshapoteza laki 2 jana usiku.

Ahsanteni.
 
Nenda kwenye maombezi.
 
Haijakutesa ndio mana unainywa,Ukipata mshahara peleka nyumba ya yatima, ukikosa hela hutakunywa tena na akili itafanya kazi ya matumizi mbadala ya hela yako utakapoacha kuwapa yatima
 
Wadau habari za muda huu,

Nianze kwa kusema mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nafanya kazi katika kampuni fulani mshahara laki 3, bado naishi kwa wazazi napanga kutoka lakini nashindwa.

Kikubwa ni unywaji wa pombe, yaani kila nikipokea kamshahara akili inanituma kunywa tuu na nikinywa napoteza mali zangu, Pesa, simu, viatu n.k.

Ushauri tafadhali hali ni mbaya. Nini nikifanye kuepukana na hali hii, maana binafsi siipendi ila najikuta tayari nipo huko na majuto ni baada ya pombe kuisha kichwani?

NB: Nimeandika kwa stress mno maana hapa nilipo nimeshapoteza laki 2 jana usiku.

Ahsanteni.
Nenda kwa mwamposa Amesaidia wengi kama wewe na saiv ile hamu ya pombe imekata kabisa... Amini nenda...
Kama huamini kwa huyo mwamba nenda kwa viongozi wako wengine wa dini wakusaidie.. una pepo la ulevi mkuu sio hivihivi... Pole sanaaa
 
Wadau habari za muda huu,

Nianze kwa kusema mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nafanya kazi katika kampuni fulani mshahara laki 3, bado naishi kwa wazazi napanga kutoka lakini nashindwa.

Kikubwa ni unywaji wa pombe, yaani kila nikipokea kamshahara akili inanituma kunywa tuu na nikinywa napoteza mali zangu, Pesa, simu, viatu n.k.

Ushauri tafadhali hali ni mbaya. Nini nikifanye kuepukana na hali hii, maana binafsi siipendi ila najikuta tayari nipo huko na majuto ni baada ya pombe kuisha kichwani?

NB: Nimeandika kwa stress mno maana hapa nilipo nimeshapoteza laki 2 jana usiku.

Ahsanteni.
Mkuu, hiyo situation hakuna mtu anayeweza kukutoa, zaidi yako ww mwenyewe. Bahati nzuri kwako tayari umeshajua tatizo, na hiyo ndio first step, kizuri kingine ushajua kwamba pombe inakutia sana hasara, so from there kilichobaki ni kimoja tu, kupitisha uhamuzi wa kuacha pombe.

Huna majukumu, that's why ukipata hela, fikra Kuu zinaenda kwenye pombe. Toka home hapo, usisubirie kujipanga, maana huo muda wa kujipanga ulishapita, 30 years yafaa uwe unajitegemea, hata kama utaishia kwa tabu, lakini hutakiwi kuendelea kuwa chini ya wazazi, unawabana.

Panga gheto somewhere, vitu vingine utanunua mdogo mdogo ukiwa hapo.

Tena usije fikiria kulaumu kampani yako, am sure wao mambo yao yanaenda, so tatizo ni lako binafsi, fanya kweli. Huu mwaka hakuna kufeli mkuu
 
Mkuu mm naelewa hali unayopitia, yaan unataman sana kuacha pombe ila, unalose control ukoshakua kwenye mazingira fulan.. ushakua addicted tayari
 
Ahsante sana kwa ushauri mzuri kiongozi wangu Mungu akubariki
 
Ngumu sana kutoka mwenyewe... Lazima apate support kutoka nje
 
Ahsante sana kwa ushauri mzuri kiongozi wangu Mungu akubariki
Broh inahitaji upractice tough love. Inabidi uwe tough on yourself ili uweze kujizaidia. Ukijionea huruma, hutoboi
 
Back
Top Bottom