Ushauri wenu: Nataka kununua laptop

Ushauri wenu: Nataka kununua laptop

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
240
Wanajf Salaam!!
Ninataka kununua laptop Hp nina kiasi cha Tsh 600,000/=. Je, kwa bei hiyo ninaweza kupata HP laptop Brand new?

Pamoja na kazi ndogo ndogo za typing pia mimi ni msomaji sana wa vitabu, hivyo huwa nitatumia sana laptop kwa ajili ya kuhifadhia softcopy za vitabu vingi ninavyo-download pamoja na series za video.

Ninunue HP ipi na ya ukubwa gani? Je, Tsh 600,000 itatosha kunipatia brand new ya hp laptop?

pia unaweza kunishauri hata varieties nyingine za laptops
 
Mh 6L kupata hp brand new mmh sijui aisee may be kwa specification za intel pentium na ram ya kawaida tuh but kama ni core i3,5 or 7 ni kuanzia laki 7 hivi
 
tafuta laptop yenye processor za ULV zinazoishiwa na U mbele hasa i3 za kuanzia 4th generation kupanda kama

i3-4010u
i3-5010u
i3-6100u

bei zake madukani mpya ni around 700,000 ila ukibembeleza kidogo zinashuka laki 6 na kitu
 
wacha wataalamu wanaouza mashine waje watakupa ushauri
 
tafuta laptop yenye processor za ULV zinazoishiwa na U mbele hasa i3 za kuanzia 4th generation kupanda kama

i3-4010u
i3-5010u
i3-6100u

bei zake madukani mpya ni around 700,000 ila ukibembeleza kidogo zinashuka laki 6 na kitu

Mkuu Chief-Mkwawa mimi nataka kununua laptop kwa ajili ya kuflash simu nichukue yenye specs zipi na bei inaendaje? N.B, Nataka kutumia laptop badala ya Destop sababu nafanya hii kazi popote pale bila kujali eneo
 
Last edited by a moderator:
Hongera! hp ndio unapata hata l5 na nusu. taft yny procsa >=1.5ghz, ram >=2gb and hdd >=320gb, nijulishe uko mkoa gani?
 
Mkuu Chief-Mkwawa mimi nataka kununua laptop kwa ajili ya kuflash simu nichukue yenye specs zipi na bei inaendaje? N.B, Nataka kutumia laptop badala ya Destop sababu nafanya hii kazi popote pale bila kujali eneo

ni vyema ikawa na core nyingi kadri utakavyoweza na kipato chako, iwe na ssd kwa ajili ya kumove mafile haraka na pia iwe na usb 3.0 port na kuendelea sababu simu mpya tayari zinakuja na usb 3.0. kasi ya hii usb 3 utaflash simu ndani ya dakika tu ukijumlisha na hio ssd.

budget hapo kwa uchache andaa 600,000-700,000 kwa core i3 laptop mpya ya watts 35 generation ya nne kupanda juu. na kama budget ipo unaweza panda hadi 1.5m kwenye i7 quadcore yenye thread nane.

kama budget ndogo zipo i3 used around 400,000-450,000 ambazo pia ni watts 35, sema ukishanunua itabidi ueke mwenyewe ssd,
 
Last edited by a moderator:
tafuta laptop yenye processor za ULV zinazoishiwa na U mbele hasa i3 za kuanzia 4th generation kupanda kama

i3-4010u
i3-5010u
i3-6100u

bei zake madukani mpya ni around 700,000 ila ukibembeleza kidogo zinashuka laki 6 na kitu
Asante sana Chief Mkwawa
 
ni vyema ikawa na core nyingi kadri utakavyoweza na kipato chako, iwe na ssd kwa ajili ya kumove mafile haraka na pia iwe na usb 3.0 port na kuendelea sababu simu mpya tayari zinakuja na usb 3.0. kasi ya hii usb 3 utaflash simu ndani ya dakika tu ukijumlisha na hio ssd.

budget hapo kwa uchache andaa 600,000-700,000 kwa core i3 laptop mpya ya watts 35 generation ya nne kupanda juu. na kama budget ipo unaweza panda hadi 1.5m kwenye i7 quadcore yenye thread nane.

kama budget ndogo zipo i3 used around 400,000-450,000 ambazo pia ni watts 35, sema ukishanunua itabidi ueke mwenyewe ssd,

ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom