Ushauri wenu muhimu

Ushauri wenu muhimu

miss tassi

Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
11
Reaction score
2
habari wana ndugu?
Hivi kwenye dunia ya sasa hivi kuna wanaume wanaopiga wapenzi wao, nasisitiza wapenzi na sio mke
 
Wakati anakupiga ulikuwa umetulia tu?
siku nyingine mponde na glass....
 
habari wana ndugu?
Hivi kwenye dunia ya sasa hivi kuna wanaume wanaopiga wapenzi wao, nasisitiza wapenzi na sio mke

vp umekula kibano mkuu, pole sana. Inategemeana mko vp na umefanya kosa gan. Kibano inawezekana tu
 
habari wana ndugu?
Hivi kwenye dunia ya sasa hivi kuna wanaume wanaopiga wapenzi wao, nasisitiza wapenzi na sio mke

Sasa dada unataka ushauri au unauliza swali? Unaposema dunia ya leo kwani dunia imebadilika? Nijuavyo mimi madhambi yote yalikuwepo,yapo na yataendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia ugomvi,kuuwana,kupigwa,wizi,kuchuna wanaume,umalaya n.k.Kama huyo wako kakupiga mng'ang'anie ujue anakupenda kwa maana mimi nilikuwa naachaga bila hata kuaga.
 
Me nilikuwa nabutuliwa hadi basi, tena bila hata sababu ya maana, halafu nikishakula kichapo changu nabembelezwa ugomvi unaisha. Ila kuna siku uzalendo ulinishinda nilimtia kibao cha uso hadi aliona cheche.....kuanzia siku ile naona heshima imerudi kidogo.
 
Vipigo noma mwenzenu nilimdunda wangu nilipomwomba msamaha akasema nikirudia ananiacha,sasa nan aachwe wee.
 
kwa kuwa dunia kuna mengi yawezekana wapo wanaopigwa na wanaume wao ....................kwa kweli akinipiga nitamvizia usiku nilipize siwezi kubali kupigwa na mpenzi hata mume kwa nini afanye hivyo loh? nitajifanya ninaota usiku nimng'ate loh ,........
 
Me nilikuwa nabutuliwa hadi basi, tena bila hata sababu ya maana, halafu nikishakula kichapo changu nabembelezwa ugomvi unaisha. Ila kuna siku uzalendo ulinishinda nilimtia kibao cha uso hadi aliona cheche.....kuanzia siku ile naona heshima imerudi kidogo.
kwa hiyo wakati unapokea kichapo unakuwa unafanya nini? mapenzi ya kupigwa siwezi loh
 
Yaani,if u break my face,i wl break yoh dick too! Sinaga uvumilivu kwa hili...na anayekupga huyo hakufai jaman!alah mwanamke anatakiwa abembelezwe bana.
 
Kama unaleta jeuri kichapo muhimu hata kama bado uja nunuliwa(kutolewa mahali) na ukiona kero njia njeupe
 
Haki ya nani mi mwanaume akinipiga nasubiri alale nabinya ko.dani tu mpaka zitoe maji!
 
Back
Top Bottom