Wakati wa kichapo nlikuwa najitahidi kumpa majeraha madogo madogo, kama kumng'ata, kumtoboa na pini, yani kichapo kikiisha kila mtu anaugulia maumivu...Halafu shost mapenzi ya kupigwa yapo sana, me nlikuwa nasemaga kama wewe wakati bado sijakutana na huyu bondia wangu, ila nikajiuliza nitaacha wangapi? Halafu kupigwa na kusalitiwa bora nini? Naweza kumzuia asinipige kwa kufanya anavyotaka lakini siwezi kumzuia asichepuke kama ni hulka yake
Ila kusema ukweli kipigo kimeninyoosha, nimekuwa na adabu haswa.