mmasi jackson
Member
- Apr 10, 2014
- 68
- 23
By the way mi siyo muumini sana wa hiyo imani ya kupiga mtu mzima eti kisa kakukosea.....utawapiga wangapi sasa???!!!!busara ni kumaliza tofauti zenu kistaarabu tu..unamdunda halafu unategemea kesho akuoe tamtam