piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 612
Wanawake wa mkoa wa mara usipo mpiga anahisi auna mpz ya dhati kwake pengine unamsaliti xo kipigo ndo habar ya town!.
No research no right to speak, we ni wa Mara au ni miongoni mwa propagandists, shuka ground ufanye utafiti wa kina mkuu, usivumishe kuwa dada zetu wanapenda kipigo.