umesikia mkuu mimi kwenda marekan sio ishu sana anytime naweza kwenda nina connection ya watanzania kwa best friends wanaishi Minessota na cincinnati,ohio.ni kwamba umesema hivo sababu hatujuani.na nina job nzur tu hapa home,tz na take home yangu iko poa airfair ticket ya kwenda kule hainisumbui.nilikua nataka ushaur kama wa Mr BAK(WISEMAN).ok
Nawewe ni great thinker?????????????
Wakuu natumaini mu wazima wa afya..!!
Bila kupoteza muda nianze moja kwa moja kuwaletea habari inayonisibu kuja hapa jamvin na kuomba ushauri. Ni hivi Miezi mitano ilopita nilipata mchumba na katika mahusiano yetu ikabidi ahamie sehemu nayokaa mpaka sahizi niko nae na ana ujauzito wa miezi mitatu. sasa kama mwezi mmoja umepita nimepata rafiki wa kimarekani toka huko pande za CLEVELAND,OHIO sasa tumewasiliana kwa muda na kunambia anatafuta mchumba na kutumiana picha pia na kunipa story zake yeye ni Assistant adviser wa Ohio hospital state University na mfanyabiashara pia Yupo cute sana iseeh, she is a DIVA.
Sasa katika kuwa tunwasiliana akavutika na mimi na anasema anataka aolewe na african man. tunachati sana na ananiahidi kunitumia visa fee na airfair ticket tukiendelea vizuri na atakuja Tanzania kuniona.Kaniahidi mambo kama siku nikienda USA atanipeleka Miami Beach,hollywood,na atanionesha sehemu nyingi USA za kutembelea na kuenjoy pia atanipikia american dishes na mambo mengine mazur mazuri tu.
Sasa tatizo linakuja kwa hapa akigundua kua nina binti naish nae na ana mimba yangu sijui itakuaje. Maana naona hii pia ni kama ticket ya kutua kwa Obama, the land of opportunity. Sasa wakuu nifanyeje ili nicheze kama pele maana huyu binti wa huku siwezi kumwacha kwani atapata shida akija kujifungua na life lake kwa ujumla.
Ushauri wenu wa muhimu ndo maana nimekuja hapa.
Ahsanteni.
Kw ule mwandiko pale juu unaonesha wazi hizo ofa upatiwazo zimekudatisha halaf unapata wapi wazo la kuanza chatting had mnFikia malengo ya kutembeleana wakat tayar ushampa mtu mimba na unae???? Wewe ulishabugi cha kufanya hapo msubir bibie ajifungue salama salmin vinginevyo akijua tu kwa muda huu wallah utaua kaz s kitu uhai wa mtu n mali
Umenikumbusha jamaa yangu mmoja alikuwa halali usiku kisa anachati na demu wa kimarekani huwezi amini na hela ya visa alituma!
Wakuu natumaini mu wazima wa afya..!!
Bila kupoteza muda nianze moja kwa moja kuwaletea habari inayonisibu kuja hapa jamvin na kuomba ushauri. Ni hivi Miezi mitano ilopita nilipata mchumba na katika mahusiano yetu ikabidi ahamie sehemu nayokaa mpaka sahizi niko nae na ana ujauzito wa miezi mitatu. sasa kama mwezi mmoja umepita nimepata rafiki wa kimarekani toka huko pande za CLEVELAND,OHIO sasa tumewasiliana kwa muda na kunambia anatafuta mchumba na kutumiana picha pia na kunipa story zake yeye ni Assistant adviser wa Ohio hospital state University na mfanyabiashara pia Yupo cute sana iseeh, she is a DIVA.
Sasa katika kuwa tunwasiliana akavutika na mimi na anasema anataka aolewe na african man. tunachati sana na ananiahidi kunitumia visa fee na airfair ticket tukiendelea vizuri na atakuja Tanzania kuniona.Kaniahidi mambo kama siku nikienda USA atanipeleka Miami Beach,hollywood,na atanionesha sehemu nyingi USA za kutembelea na kuenjoy pia atanipikia american dishes na mambo mengine mazur mazuri tu.
Sasa tatizo linakuja kwa hapa akigundua kua nina binti naish nae na ana mimba yangu sijui itakuaje. Maana naona hii pia ni kama ticket ya kutua kwa Obama, the land of opportunity. Sasa wakuu nifanyeje ili nicheze kama pele maana huyu binti wa huku siwezi kumwacha kwani atapata shida akija kujifungua na life lake kwa ujumla.
Ushauri wenu wa muhimu ndo maana nimekuja hapa.
Ahsanteni.
yap hujakosea mkuu thinking capacity yang kweli ndogo itadidi nirudi tena UDSM iseeh kupiga shule!!